Huyu dada nimueleweje?

Kwani nauli inaanzia shilingi ngapi? Maana naona wadau wengine wanasema 5k haitoshi? Au anaenda nje ya mkoa?
 
Unajihukumu wewe mwenyewe, yeye hajasema lolote.
 
Kama huna bora usitoe

Kama unayo, toa ile aliyoomba, inaonesha kuwa mwanamke alikuchukulia kama mtu wake wa kudumu na ndio maana alikuomba hela ya kumuhudumia (sio ya malipo ya papuchi)

Baada ya kumpa hela (tena sio ile hela aliyoomba) mara baada ya kugonga ngozi akahisi unamlipa/unanunua penzi na si kumuhudumia
Wenzangu huwa mnatoa ngapi?
 
We wa hovyo sana. Unatunukiwa kitu usiku kucha ujikatie fungu lako halafu mtu anakuaga unampa 5 elfu. Hata aibu huna? Sasa mfuate kwake moja kwa moja ulale huko huko
 
We wa hovyo sana. Unatunukiwa kitu usiku kucha ujikatie fungu lako halafu mtu anakuaga unampa 5 elfu. Hata aibu huna? Sasa mfuate kwake moja kwa moja ulale huko huko
Siwezi mkuu , ameonyesha dharau ya Hali ya juu
 
Nawaza kwa sauti, yawezekana alihisi nalipia papuchi lakini sikuwa na lengo hilo
 
Sema wewe riki tukisema sisi oooo watasema tunauza.
Jitu linatia usiku kucha bi dada kapata shida hata hajiongezi kaomba mchezo kapelekewa usiku kucha tena anatoa 5,000.
Mie na matusi juu ningempa.

Kama hana hela anawezaje kusimamisha? Hayo ni matumizi mabaya ya nguvu za kiume
 
Amu thamini utu na si pesa, hata Kama Ni ndogo angepokea tu na kwenda kumsaidia ata ombaomba njiani na siyo kuikataa mbele yangu, hi inamaanisha yeye Ni anapendaga makuu Sana.
 
Amu thamini utu na si pesa, hata Kama Ni ndogo angepokea tu na kwenda kumsaidia ata ombaomba njiani na siyo kuikataa mbele yangu, hi inamaanisha yeye Ni anapendaga makuu Sana.
Tafuta pesa.
 
Kama hajawahi kukuomba hela basi sidhani kama tatizo litakuwa ni hiyo 5k uliyotaka kumpa.

Kuna matatizo mengine. Probably umepiga show dakika mbili mara wagiriki hao wametia timu.
 
Kama hajawahi kukuomba hela basi sidhani kama tatizo litakuwa ni hiyo 5k uliyotaka kumpa.

Kuna matatizo mengine. Probably umepiga show dakika mbili mara wagiriki hao wametia timu.
Alishawahi kuniomba nikamwambia Sina kwa wakati huo,labda alitegemea leo ndiyo atapewa akakutana na hiyo buku tano,akachukia.
 
Alishawahi kuniomba nikamwambia Sina kwa wakati huo,labda alitegemea leo ndiyo atapewa akakutana na hiyo buku tano,akachukia.
Najiuliza maswali mengi sipati jibu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…