Huyu dada ni muuaji

Unaweza kukuta sababu siyo hiyo huenda Kuna issue nyingine ila hiyo katumia Kama kivuli tu, Hilo ni la kumuachia muoaji na muolewaji wakae waweke Mambo sawa, ikishindikana mwanaume aamue maake Kila kitu kimejionyesha.
Ni kweli yawezwkana bibi harusi alikuwa na X wake aliyekuwa anampenda na kumkubali ila huyo X hakuwa na mpango wa kuoa, sasa X kusikia binti kapata mume kastuka na kumwambia bibi harusi yupo tayari kwa ndoa, sasa bibi harusi anapika zengwe
 
Ni kweli yawezwkana bibi harusi alikuwa na X wake aliyekuwa anampenda na kumkubali ila huyo X hakuwa na mpango wa kuoa, sasa X kusikia binti kapata mume kastuka na kumwambia bibi harusi yupo tayari kwa ndoa, sasa bibi harusi anapika zengwe
Anapika fitna ili arudi kwa x. Itakula kwake mazima. Kuna watu wanakupenda ukiwa kwa mumeo au mchumba wako, ukiachika na wao wanasepa.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli yawezwkana bibi harusi alikuwa na X wake aliyekuwa anampenda na kumkubali ila huyo X hakuwa na mpango wa kuoa, sasa X kusikia binti kapata mume kastuka na kumwambia bibi harusi yupo tayari kwa ndoa, sasa bibi harusi anapika zengwe
Yote yanawezekana,
 
Nadhani sio hii sababu pekee ,n kama ndo hii pekee inamfanya hivo, hana akili but mchunguze kuna mambo huwa yanaleta shida sana na unaweza kuta ni makubaliano ya binti na ndugu zake kugomea ili lengo lao litimie.
 
Mabinti wengi siku hizi wana shida, unaweza kuta ni shinikizo la marafiki tu. Kwanza binafsi naamini ndoa sio sherehe
Una uhakika gani alitaka ya kifahari?
Pengine ni different choices Kwa gharama Ile ile
 
Vtu vjngne bhan, mbona virahisi tu kwann wanaume tunashindwa kuvitatua ? Ivi anadhan kam maandiliz ya haruc tu mwolewaji anakataa anasem ya hadhi ya chini ivi mfano cku jamaa akafulia hana kaz (maan maisha n kitendawil muda wote unaweza toka hero hadi zero) unadhan hapo huyo mke atakaa tena, suala hapo kidume n apge chin atangaze bi haruc mwingne, kwan huyo mwanamke n beyonce labda mpak aseme maandiliz yako low Quality duuh...an huu uzi unanipa hasira xan *****, tatzo wanaume wa cku hzi tunaangalia weny matako cyo wenye akili hyu Bwana haruc ***** zake kabisa, dunia ina watu bilion 7.8 na wanawake n billion 5.4 sasa unahangaika nn pga chin chukua mwingne, wazur weng xan na wanashida ya kuolew [emoji3525][emoji3525][emoji3525]
 
Binti analaumiwa bure
Ina maana Hadi mnachagua ukumbi hamkumwambia?..

Keki siku hizi si zinaletwa picha mnachagua?
Hakutumiwa picha watsaap?

Harusi ni tukio sensitive Kwa baadhi ya watu..

Ushamba uko Kwa hao kamati
Nadhani haujawaza vizuri

Ukioa au ukiolewa unaoa ukumbi wa harusi au unaolewa na ukumbi wa harusi?

ukioa unaoa keki ya harusi au unaolewa na keki ya harusi ?

bwana mdogo,ndoa ni zaidi ya ukumbi wa harusi na keki ya harusi au saloon ya kupambwa

kama mwenzie pamoja na upande wa mwanaume wamefanya kulingana na uwezo wao halafu mwanamke huyo anasema sio hadhi yake nadhani huyo mwanamke sio wife material, ni commodity material, na nampongeza sana mwanaume mwenzangu kwa kufuta hio harusi ...mana sio ndoa hio ni harusi. mwanamke atafute mwanaume mwingine atakayempa harusi ya karne na sio NDOA.
 

HUYO JAMAA YAKO FALA, ANATAKA KUOA DEGREE YA HUYO DADA NDIYO MAANA MPOLE KAMA KOBE
 
Kuna ndoa na kuna Sherehe ya harusi..
Binti anaweza kabisa kukubali kuolewa
Ila asikubali Sherehe ..
Binti kugomea sherehe sio lazima hataki kuolewa..
Pengine Yuko ready sherehe ifanyike baadae hali ikiruhusu
Mkuu kabla ya yote umeoa? Tuanzie hapa.
 
Huyo dada ana haki ya kukataa sherehe mbovu ya tukio kubwa, maishani kwa mkiristo zipo sherehe tatu kuu ya kuzaliwa, ubatizo, na harusi na kifo ndio main events, so binti ana haki kabisa ya kugoma mwenyewe nisingekubali harusi yangu iwe ya kiboya
Kwa mkristu anayemfuata Yesu haswa sherehe ni 2nd choice na kanisani ndipo pa kwanza.
 
Lazima sherehe ifanyike sehemu nzuri na sio Uchochoroni, halafu unasema ajigharamie kwani anajioa, harusi hugharamiwa kwa upande wa mume watafte hela waache kulia Lia, ka shughuli inawashinda wataweza kutunza mke kweli?
Umeolewa?
 
Mwambie uyo jamaa aje huku kwetu wapo wanawake waliosoma na wanakubaei kufungia ndoa hata nyumban.

Harus ipo ili kuwa pongeza tu sio kuonyesha ufahar wa ndoa yenu.

Leo kagomea harusi usishangae kesho akigoma kulala nae kisa chumba hakiendan na hadhi yake
 
Binti analaumiwa bure
Ina maana Hadi mnachagua ukumbi hamkumwambia?..

Keki siku hizi si zinaletwa picha mnachagua?
Hakutumiwa picha watsaap?

Harusi ni tukio sensitive Kwa baadhi ya watu..

Ushamba uko Kwa hao kamati
hapana hapana.mtu hapo Wala kuolewa kwa sababu za ubora wa hayo yote anayoyalazimisha.

Tena kijana ana huruma tu huyo kuhairisha harusi Mimi ningevunja uchumba muda huo huo na nakaa Kama hakuna kilichotokea.hujajiuliza Kama tendo la siku Moja tu analazimisha hayo itakuwaje kwenye maisha halisi ya ndoa???
 
Nwana harusi hakuwa na substitute ili huyo aliyekataa aje kuwa mpiga picha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…