Huyu dada ni muuaji

Huyo binti ni choka mbaya tu sema tamaa imemtawala. Hajatokea familia ya mboga saba.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app

Usimalizie wewe mkuu! 😂😂😂 we jua mtoto ni mambo safi!

Kama ulinisoma vyema mwishoni nilishauri amtafute na huyo binti amuhoji ili kubalance story! Sidhani kama ukumbi na keki pekee vinaweza kumfanya mtu akatae harusi, ndugu na wazazi wake pia wakiridhia hilo!
 
Huyo dada ana haki ya kukataa sherehe mbovu ya tukio kubwa, maishani kwa mkiristo zipo sherehe tatu kuu ya kuzaliwa, ubatizo, na harusi na kifo ndio main events, so binti ana haki kabisa ya kugoma mwenyewe nisingekubali harusi yangu iwe ya kiboya
Inaonekana we ya kwako ilikuwa bab kubwa
 
Sijaibeza simu yako Boss, wale wenye simu za bei na zisizo na bei sote tunakutana humu JF
Kweli mkuu pia kuna umri fulani ukifikia roho ya mashindano inakutoka. Unaweza kuta mtu ana mshahara wa 5m ila anatumia Tecno W3, ila hawa wenye mshahara wa la tatu na nusu ndio wanahangaika kubadilisha iphone kila fashion inayoingia.

Kupanga ni kuchagua.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Wadada wengi wa leo, wanataka harusi na si ndoa. Huyo binti atamsumbua sana jamaaa, na hizi ni dalili. Mm ninge mute kabisa, Ndoa ni heshima kubwa sana anayopew mwanamke,na tukio la kiroho, sherehe zinazofuatia ni maamuzi tu, sio lazima.
 
Huyo dada ana haki ya kukataa sherehe mbovu ya tukio kubwa, maishani kwa mkiristo zipo sherehe tatu kuu ya kuzaliwa, ubatizo, na harusi na kifo ndio main events, so binti ana haki kabisa ya kugoma mwenyewe nisingekubali harusi yangu iwe ya kiboya
Your salary is C your expenses are Z. Sisi wanaume usipokuwa na akili ukataka toka na mwanamke mwenye taste zilizozidi uwezo wako ama utaishia kuwa chizi au utageuka kuwa mwizi na madeni juu.
 
Huyo dada nahisi kaangalia sana season za kikorea , kihindi na vipindi vya Keeping Up with Kardashians,,,, na vimemharibu kweli.
Sasa bwana harusi ni mwalimu na kipato atakuwa bibi harusi anakifahamu, sasa yeye anataka maisha ya Kardashians ili iweje. Si watafilisika hata ndoa bado
 
Unataka sherehe kubwa wakati muoaji/muolewaji kachangia ela ya mbuzi.....Nani abebe hiyo gharama ya kufanya sherehe kubwa? Ukitaka sherehe kubwa,hakikisha wewe muoaji au muolewaji umechangia 10M+
 
Kwani huyo dada ana nini cha ziada tofauti na wadada wengine wa hspo mtaani?
 
Unaweza kukuta sababu siyo hiyo huenda Kuna issue nyingine ila hiyo katumia Kama kivuli tu, Hilo ni la kumuachia muoaji na muolewaji wakae waweke Mambo sawa, ikishindikana mwanaume aamue maake Kila kitu kimejionyesha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…