Huyu dada ni lijizi lililoshindikana

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
19,472
25,403
Jamani eeeh,ukiona sura ya huyu dada inabidi mumuepuke

Ana majina mengi kweli mitandaoni ,muda mwengine anajiita Anna Charles ,muda mwengine Lucy shayo ,muda mwengine Angel Francis,Grace Dominic etc

Kuweni naye makini anajifanya anatafuta marafiki wa kiume kumbe anawaibia
 

Attachments

  • Screenshot_2017-04-21-15-14-44_1.jpg
    Screenshot_2017-04-21-15-14-44_1.jpg
    61.5 KB · Views: 238
  • Screenshot_2017-04-21-15-18-34.png
    Screenshot_2017-04-21-15-18-34.png
    78.5 KB · Views: 215
Yani hii sura nakutana nayo mara kwa mara hasa magroup ya malaya whatsup ukiomba picha tu ya mrembo unatumiwa ya huyu dada ila majina yanakuwa tofauti tofauti
Sasa kama unatafuta wafu makaburini cha ajabu nini? Hiyo picha sio yake, ameichagua tu mtandaoni awaweke wakora sawa. Huo ndio unaitwa mtama kwa watoto. Na usijeshangaa mwenye kuyafanya mambo haya ni mwanaume
 
Mkuu,watu tu wanatumia vbaya pcha yake,ila mm bnafsi namjua,umalaya sijui km anaowiz ntamtetea kwa saut kubwa,sio mwiz na ad macelebrity wetu wanamuombaga atokee kwny vdeo..
Hta nkikupa namba umpgie utaamin sio mwiz,ila ndo ivo sikupi
 
Ulishawahi kukutana nae?
Maana wengine wanatumia picha za watu vibaya. Pengine anafanya hivyo kutumia picha ya mtu tu.
Ila matapeli wa hivyo wapo wengi mnoo. Kuweni makini
Ni kweli kabisa watu wanatumia picha za watu kufanya utapeli. Kama sikosei huyu binti ni video vixen na Insta anatumia jina Eryca kama kumbukumbu zangu ziko vizuri.
 
Back
Top Bottom