Huyu dada kwa hakika hatasahau siku ya jana

Huyu dada kwa hakika hatasahau siku ya jana

Unapotoa kwa mkono wa kulia,mkono wa kishoto hautakiwi kujua kuna nini mkono wa pili.
 
sasa je angekuwa na tumbo la kuhara na hiyo chafya si yangekuwa mengine?
 
Sijamsimanga ila nimelaani hiyo tabia mbaya ya kutokuitikia salamu yangu
Kuna binti mmoja hivi. Nakumbuka enzi hizo nipo form one(2003) nimetoka shule na mama kanituma maji kisimani. Nikakutana na binti mmoja anayeishi mtaa wa pili. Nipo na ndoo yangu mkononi. Mm naenda yy anarudi (lkn yy hakufuata maji.) Njiani tupo wawili tu. Nimemkaribia nikamsalimia ''mambo! Kimya. Nikafikiri labda hajasikia. Nikamsalimie tena mambo kimya. Nilijisikia vibaya. Nikajisemea kimoyo moyo ''Umeniringia lkn mwanaume mwenzangu atakutia adabu''. Siku zikaenda. Tukipisha wala simpi salamu. Hapo nimeingia form 2, yy form one. Siku zimepita naona hata shule haendi. Kuja kufahamika kapewa mimba na shule kafukuzwa na jamaa aliyempa mimba kaukana (kumbe aliyempa mimba alikuwa mwanachuo wa SAUT). Mshikaji aliyempa mimba hakumuoa. Huyo mwanamke nilimuacha hajaolewa sijui kwa sasa. Siku nikirudi mwanza. Nitamtafuta ili nimtafune kwa machungu. Nimemuweka kweny mabano.
 
Unaweza kuhisi mtu kakudharau hajaitikia salamu yako Kumbe kiwiliwili kinatembea akili aipo hapo.
 
Unaweza kuhisi mtu kakudharau hajaitikia salamu yako Kumbe kiwiliwili kinatembea akili aipo hapo.

Au ni vyuma kukaza nini? maana kwa vyuma hivi mtu anaweza kupigwa na upofu, ububu na ukiziwi kwa muda maana hali ni mbaya
 
Amesimanga tena? Nadhani kuna jambo la kujifunza hapo, usimdharau mtu haijalishi hali au jinsia

mkuu tuna mitazamo tofauti sana, mimi sijaona ni wapi nimemsimanga huyo binti, bora umenisadia kumjibu huyu member
 
Unaweza kuhisi mtu kakudharau hajaitikia salamu yako Kumbe kiwiliwili kinatembea akili aipo hapo.
Si kweli. Mara 2? Nawajua sana nyinyi. Ilifikia kipindi nikienda dukani kununua vitu km simu, saa, n.k nikikuta mdada huwa sinunui. Ila nikikuta mama wa makamo. Hapo hata sijiulizi nanunua. Hiyo tabia mpaka leo ninayo. Juzi nimeenda kununua simu kariakoo. Nikakuta mdada. Sijanunua. Nikatafuta duka jingine.
Wadada nyie huwa mnadharau sana mkiona mnashika hela, una elimu na una kajamaa kenye hela au kashobaro basi dharau mpaka kwa wengine.
 
Pole mkuu.
 
Huyo dada hakutakiwa kutumia leso yako kujifutia,sana umemuongezea maradhi tu,angejifutia hata gauni lake,lakini si alikuridishia baada ya kupyengea ?, ukaiweka mfukoni[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom