Huyu dada kanipenda au ndo maigizo?

Huyu dada kanipenda au ndo maigizo?

Kongosho ukistaajabu ya musa utaona ya firauni. Skuhizi hadi mama anashrkishwa
 
Last edited by a moderator:
tuko kusaidiana apa amna hadith we perry umeskia ila samaan kama nimekuuthi na pia nashkuru kwa walionishauri
 
marhaba.......huo sio upendo ni ukichaa......
jaribu kumchunguza....je kipindi cha mawingu huwa yupo sawa........?....na usipoangalia vizuri anaweza kukung'ata.........

Nawe unazeeka vibaya. Badala ya kumshauri mtoto akasome.... Malabuku zako, ntakucharaza bakora
 
usikute kasimu ka promotion. hivi simu kama GALAX IPHONE NA LUMIA anaweza pasua kweli?
 
shkamooni wakubwa zangu wadogo zangu maraaba,mimi nikijana nna miaka23 nna mpenz wangu mpaka sasa ni miez mi3 niko nae tatizo lake nisipompigia cm au sms walau sku mbili basi ujue ni shida kama leo kakaake kanipigia cm ananambia mbona.......anapasua cm uku hom nkamwambia misjui chochote baadae nkapga cm iliita kama mara5 akupokea badae nkagundua kumbe alivunja cm na line sjui kanikomoa au kajikomoa yeye au ndo utoto au ndo udogo ktk mapenz ananipenda au magumashi tafazali ushauri jamani.


Wote watoto tu!! Ulimpigia simu kama mara tano ikaita na haikupokelewa. Baadae ukagundua kuwa simu alipasua na line akavunja, katika situation hiyo, simu iliitaje??!! Utoto tu na mapenzi yako na watoto wa shule!!!
 
Mahusiano miezi mitatu hadi brother anajua! Na namba yako a nayo.hizi bahati mbona kina d hatuzipati?
Back to the topic,kama hujampigia cm siku mbili anapasua sim, siku akikuta na msichana mwingne si anaweza kukupasua we mwenyewe?

hahahahahaa,globolized r'ship,,,,fastafasta
 
usikute kasimu ka promotion. hivi simu kama GALAX IPHONE NA LUMIA anaweza pasua kweli?

hata ya promo hawez vunja,hizo simu za uhuru/msimbaz pale kariakoo,elf 10 upo hewani,na lazima itakua lain ya tigo
 
MDESI Kakaake alinpigia akasema she wako mbona anaharibu cm sasa kaka akakata nkapiga mimi kwa kaka akasema she wako analalamika eti umpigiagi baada ya apo wakaikusanya ile cm betri na line ndo akarudishiwa cm yake sasa nkampigia she wangu mara5 hakupokea badae kakake akapga akasema tmeirudishia ile cm kumbe ndo kaipasua kabisa mdesi umeona?

Kwanza MARAHABA kijana. Hivi ni mimi ndiyo sielewi au una maanisha KAKA yake yaani ndugu yake wa kiume? Hii enzi zetu ilikuwa haiwezekani kabisa na wakina dada walikuwa wanajua na kuficha hayo mahusiano yao yasiyofaa. Yaani mimi niwasiliane na mtu mwenye mahusiano na dada yangu mpaka kumpigia simu kuhusu dada yangu? THUBUUUUUTU!!
 
ndugu yangu skiliza,rafki yangu uyu tumeshibana simchezo kiasi chakuniunganishia dada yake, kiukwel tunaelewana sana na uyu kakaake mpenz wangu,na baati nzuri uyu mdada kanizimia sana kwa hali nnayoiona mpaka saivi ndomaana yametokea ayo yaliyotokea nafkiri umenielewa
 
Dah...unaweza kukuta kaka mwenyewe ana miaka 17 ..... hata hatuna haja ya kuunda tume tena matokeo ya form 4
 
Back
Top Bottom