Huyu dada kanipenda au ndo maigizo?

Huyu dada kanipenda au ndo maigizo?

alaf dada huyu ndo anajiandaa na mtian wa form4 mwez wa11sasa mda kama u ndo anatakiwa kuchachamaa na maxomo badala yake anajchanganya na mapenz saiz nanmemwambia kabisa akifeli simtaki kabisa we ngoja

ivi ile sheria ya kupiga ndani mtu miaka 30 bado ipo???
 
vyote anavyo wivu utoto na hasira pia

ndo unataka aje kua mke au mtoto wako??wenzako wanatafuta ela wewe unatafuta kademu!!!?? poor you...
karibu j.f!!

Join Date : 24th August 2013

Posts : 31
Rep Power : 313
Likes Received0
Likes Given0
 
alaf dada huyu ndo anajiandaa na mtian wa form4 mwez wa11sasa mda kama u ndo anatakiwa kuchachamaa na maxomo badala yake anajchanganya na mapenz saiz nanmemwambia kabisa akifeli simtaki kabisa we ngoja
we una miaka mingapi 16 au? mi ningekuwa mzazi/ ndugu wa huyo dada ningekufunga, unachukuaje mtt wa form 4? mnatuharibia wtt
 
shkamooni wakubwa zangu wadogo zangu maraaba,mimi nikijana nna miaka23 nna mpenz wangu mpaka sasa ni miez mi3 niko nae tatizo lake nisipompigia cm au sms walau sku mbili basi ujue ni shida kama leo kakaake kanipigia cm ananambia mbona.......anapasua cm uku hom nkamwambia misjui chochote baadae nkapga cm iliita kama mara5 akupokea badae nkagundua kumbe alivunja cm na line sjui kanikomoa au kajikomoa yeye au ndo utoto au ndo udogo ktk mapenz ananipenda au magumashi tafazali ushauri jamani.
M

Du pole Kijana matatizo Kama hayo yapo hasa kuanzisha mahusiano na watoto wanaoibukia ktk mapenzi
 
Utoto raha sana.....analeta mapenzi ya tamthilia ya kupasua tv na sim....

akikaa off air kwa siku kadhaa ndo atajua kuwa nyanya ni tunda au kiungo cha mboga

tehe tehe tehe tehe tehe tehe tehe tehe tehe teh etee............
Nguli la mapenzi hilo. Wacha weeeeeeeeeee

Hivi unajua bado hujatujuza mustakabali wako na jeba lako.
Hi hi hi hihihihihihi
 
usikute kasimu ka promotion. hivi simu kama GALAX IPHONE NA LUMIA anaweza pasua kweli?

Thubutuuu. Magalaxy na maiphone kuyapata mpaka utemeshe mamilioni . Anyway huku kwetu mabwepande wajipatia ardhi murua kabisaaa.
 
...mbona ize sana,ukikutananae piga kelele mara tano,kisha jamba mara tano huku uiita simu,simu .simu kisho ondoka. Siku akitaka kuvunja simu atakumbuka kuwa wote ni machizi so ngoma droo ataaìrisha.,..
 
Ndilo tatizo la kuanza mapenzi mkiwa na umri mdogo...wewe kama una miaka 23 sina shaka unayemwita mpenzi atakuwa na miaka 17 ama 18!
 
Back
Top Bottom