Huyu dada huyu jamani lol!!

Umekosea hapo uliposema "vijana wanaojiunga siku hizi" hujatenda haki ........kuna idadi kubwa ya wakongwe ambao ndo vinara wa kutupia makororokoro hapa Jf na hakuna anayewasema

Ungemkosoa tu mleta picha yeye km yeye na siyo kuwasemasema vijana(member wapya/wageni)
Nafikiri nimeeleweka
................................
 

Samahani kama umekwazika ndugu....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…