kuwa na mume anayekujali, kuheshimu na kukuhudumia na kutunza raha sana. check mtoto alivyo mzuri. Si waume wengine kila kitu hana ....baby naomba hela ya saloon utasikia "sina", ya shopping "sina", ya kupendeza "sina"
Daah!Kwani mtu akiolewa anakuwa zombi kias kwamba hatuwez kuuona uzuriwake?, Yan hapa aolewe asiolewe m napenda Tu full stop β
Hahahaha rafiki hapo hujakufuru roho mtakatifu kweli...Akikuonjesha huyu walah lazima unene kilugha kitanda....rikakasika sintanaborita ashhhhhhhh mhhhh
Duh[emoji3] [emoji3] [emoji3]ukitatuliwa linda zako ndo utajua kama maharage cio mboga.... Mme wake ni mtu mkubwa tu apa nchini tena secta nyeti kulko nyeti zetu hizi
isee hata mimi nilikuwa namzimia ile mbaya huyu sister,ila siku moja nikabahatisha kukutana naye pale mabibo sokoni,yani yuko tofauti kabisa na mwonekano huo alionao hapo kwenye picha