Huyu dada anautesa moyo wangu..!!

ukitatuliwa linda zako ndo utajua kama maharage cio mboga.... Mme wake ni mtu mkubwa tu apa nchini tena secta nyeti kulko nyeti zetu hizi
Yuko sector gan mkuu?
 
Usijali. ...unaweza kuta anaboa kishenzie.

Naweza fananisha hizo hisia zako na kitu wakoloni wanakiita MIRRAGE.

Huwezi nielewa kwanza mpaka uwe na demu mkalii alafu ukamzoea wala hushtuki akiwepo.
 
Akikuonjesha huyu walah lazima unene kilugha kitanda....rikakasika sintanaborita ashhhhhhhh mhhhh
 
Kwani mtu akiolewa anakuwa zombi kias kwamba hatuwez kuuona uzuriwake?, Yan hapa aolewe asiolewe m napenda Tu full stop [emoji113]
Usitamani mwanamke asiye mke wako. Full stop.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…