Hapana mimi napata msaada kila siku."Mara ya mwisho ni lini ulifanya mapenzi" anasema akamwambia daktari ni miaka mitano iliyopita!! Mh nikaguna tu sikusema kitu, nikagundua kuwa anahitaji msaada na mimi siko tayari.
Wewe na yeye, nyote mnahitaji Msaada, Mkuu!