Renegade
JF-Expert Member
- Mar 18, 2009
- 7,127
- 6,764
Habarini za asubuhi, ni siku nyingine tena ya jumatatu tulivu, tuna kila sababu ya kumshukuru MUNGU kwa kutujaalia afya tele niende kwenye mada, ofisini kwangu kuna dada mmoja muhudumu wa ofisi, tumezoeana kwa kuwa wote tuna tabia ya kuwahi sana ofisini asubuhi,
Lakini pia amenizoea kuwa lazima kabla ya saa 1 lazima aniletee magazeti kwani anaelewa mazoea yangu ya kuwa nimesoma magazeti kabla ya saa 1 asubuhi, mara nyingi anapokuwa na tatizo lolote ananishirikisha, nikiweza nasaidia, na mara nyingi nimekuwa nasaidia, ila ili la leo zito.
Sikuwepo ofisini kwa takribani siku 7, ile naingia tu kaniletea magazeti na kukaa, akaanza kunielezea matatizo yake, kuwa Alhamisi alienda hospitali mgongo unauma,kufika huko Doctor akamuuliza, "Mara ya mwisho ni lini ulifanya mapenzi" anasema akamwambia daktari ni miaka mitano iliyopita!! Mh nikaguna tu sikusema kitu, nikagundua kuwa anahitaji msaada na mimi siko tayari.