Huyu Dada ana Miguu mingapi?

Kushoto ni vase miguu ni hiyo kama kuni za nyongeza.
 
huo wa kati ni utata kwa kweli

Dada ummu kuna mchango ulishasema kuwa kushoto unapoitazama hiyo picha ni "vase" mtungi/kijimtungi sio mguu.
Kwa hiyo miguu ni huo wa kati na pia kulia unapoangalia hiyo picha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…