wana jf huyu mhs insa kaisi kaishia wapi? Nilitokea kumfahamu wakti nipo tabora boys secondary school wakati akiwa mkuu wa mkoa wa tabora. Alikuwa jembe kama mwakyembe (kabla mwakyembe hajabadirika).
Nitashukuru....

Nsa Kaisi amestaafu na muda mwingi anaishi kwake kule Kyela.
Mimi nilionana naye Mwaka jana mwezi wa tisa nilipomtembelea pale nyumbani kwake Kyela.
Ni mzima wa afya na bado ana nguvu zake na pia busara nyingi.