Chibudee
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 1,775
- 2,408
Chizi kaanguka toka kwenye gorofa
fasta watu wakamfuata kumsaidia
wakamuuliza:- VIPI IMEKUAJE?
Chizi akajibu:- HATA SIJUI NA MIE NDO NAFIKA SASA HIVI.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji13][emoji13][emoji13][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Huyu chizi hapendagi kabisa ujinga