Huyu Chizi Hapendagi Ujinga kabisa:

Huyu Chizi Hapendagi Ujinga kabisa:

Chibudee

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2016
Posts
1,775
Reaction score
2,408
Chizi kaanguka toka kwenye gorofa
fasta watu wakamfuata kumsaidia
wakamuuliza:- VIPI IMEKUAJE?

Chizi akajibu:- HATA SIJUI NA MIE NDO NAFIKA SASA HIVI.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji13][emoji13][emoji13][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Huyu chizi hapendagi kabisa ujinga
 
Msg kama hizi ukitumiwa kwenye simu na mtu unayemuheshimu....
 
Chizi kaanguka toka kwenye gorofa
fasta watu wakamfuata kumsaidia
wakamuuliza:- VIPI IMEKUAJE?

Chizi akajibu:- HATA SIJUI NA MIE NDO NAFIKA SASA HIVI.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji13][emoji13][emoji13][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Huyu chizi hapendagi kabisa ujinga


chizi yuko vizuri
 
Ninamshusha vyeo fasta na heshima ninampunguzia, hata hapa niliangalia nipo jukwaa gani kwanza kabla ya kucomment,
Uliogopa na ww usidondoke nn [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Form six umempendelea sana
Alafu mtu ane Dharau elimu yamtu bila kumjua kisa tu jambo ambalo ilikuwa sio lazima

Ku comment mi nawaona kama dada poa coz hao kina professa wananini

Au mnanini nyie mnao kanda elimu za wenzenu Nyani aoni kund****ule

Hadi kufikia hatua ya kuchangia mm na ww hatuchekani ungeona is not important unge leav out
 
Back
Top Bottom