Huyu bwana ni nani?

mayenga

JF-Expert Member
Sep 6, 2009
4,118
1,966
attachment.php


Ukiangalia upande wa kulia wa picha ya Lowasa kwa nyuma,kuna huyo bwana mwenye shati la zambarau.Ni nani bwana huyu?-maana ameonekana kuwa close sana NA Mgombea.
 
maCCM na Mwigulu wanasema Edo boy ni hawezi hata kujifuta kamasi au kikombe cha Chai,Lowassa hawajibu upumbavu wao kwa Maneno,he work the talk and not talk the work,Hakika Lowassa anasitahili kupendwa na hata kuongoza mabadiliko ya Taifa hili!!
 
Back
Top Bottom