Makosa hayo ya utamkaji yakafanya Nairobi Fly itumike rasmi...hata kwenye kamusi inatumikaHuyo Ni Narrow bee fly(Nairobi fly) AKA Corona virus ni nuksi huyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wako species kama 10 hiviMbona hana vile vibanio nyuma
dodoma huku wapo wengi sana
HahahaWanahamishia makao makuu yao hukohuko na wenyewe.
Jiwe akiona koment za namna hii anasema hiii hamnioni huko ng'o.Wanahamishia makao makuu yao hukohuko na wenyewe.
Hii "Narrow Bee Fly" nimeijua leo pamoja na "uenga wangu" - Ahksante feyzalHuyo Ni Narrow bee fly(Nairobi fly) AKA Corona virus ni nuksi huyo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Narrow bee fly wameamua kuunga juhudi kwa vitendo.
Huu mwaka wamekuwa kero sana hawa wadudu wa nairobi(Nairo bee fly.)
Sent using Jamii Forums mobile app