Huyu Blandina Njau na Veronica Kundya ni kina nani hasa hapa nchini?

Hawa watu wawili Bi blandina Njau na Veronika kundya ni kina nani hasa hapa nchini?

Wamekua wakipost magari ya kifahari na mafanikio sana sasa nijuzeni hawa ni kina nani na wanafanya mishe gani mjini?

Nawasilisha
Hao ni wanawake mkuu usiulize sana
 
Insta inaharibu sana vijana, inafanya wawaze mafanikio ya haraka ili wale bata ilhali wanaopost huko wamehustle kichizi.

Sijui mishe zao ila kama zinahatarisha usalama nadhani wangeshatiwa nguvuni na policcm.
 
Hawana shida bana,kazi zao ni halali hata wewe unaweza ukajiunga.

Watu wanapambana
 
Hawa watu wawili Bi blandina Njau na Veronika kundya ni kina nani hasa hapa nchini?

Wamekua wakipost magari ya kifahari na mafanikio sana sasa nijuzeni hawa ni kina nani na wanafanya mishe gani mjini?

Nawasilisha
Itakuwa ni wale maofisa wa ‘DECI’ schemes kama Forever living, GNLD , Qnet, na takataka zingine za kitapeli.
 
Tuliza Makini Yako Hao Wanaangukia Kwenye Maeneo Haya Ni Suala La Muda Tu
JATU
Mr Kuku
Vanilla
Deci
Ujanjaujanja
 
Mnavutwa

Lkn wajinga hawaishi lazima wapo wakatao nasa

Ova
 
Back
Top Bottom