msemakweli2
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 1,627
- 1,886
kimsingi wewe ni kunguru hata ukichangwanjwa na njiwa utajificha tu lakini kuna siku utalia kwaaaaaaaaa kwaaaaaaaaaaaa kwaaaaaaaa.....

sio lazma uongee ikikukera nyuti. Unabweka ka jbwa koko. F**k u
Wewe kama humpendi mwambie siyo kuwa eti huna imani naye sa siye 2tajuaje? Mlivyoanza kupendana mbona hukumwambia kuwa huna imani naye?unatuuliza siye ili iweje? Namwonea huruma huyo dada mana we una hitilafu kwenye mapenzi ningekuwa mimi baada ya uzi huu NAKUBWAGA MAZIMA! Shenz type!
Umefungua ID mpya ili kupost haya tofauti na ile anayoifahamu? Kama siyo, akilini haupo sawa.
Kuna dada mmoja nilimpata humu humu Jf tukapeana namba za simu na baadae tukawa wapenz, mpaka sasa ni miez 4 toka tuanze uhusiano japo yeye ana mtoto anajitahdi kuonesha mapenz ya kweli ananipa ushaur mzur sana na mpaka anaenda kwa ndugu zangu. Juz kat alienda kwenye shule anayosoma mdogo wang na kumwachia kias cha sh elf 60 japo yeye hakusema chochote kwang ila mdogo wangu na kaniambia. Sasa tatzo huwa nimetokea kutokuwa na iman na mwanamke yeyote japo anaonesha kunipenda sana lakn mm sina iman nae hata kdogo kwasababu niliwahi tendwa vbaya sana na mchumba wa zaman. Huyu bint anafanya kaz mbali kama mikoa miwili mpaka nilipo mm lakn kwa mwez anakuja mara 3 au hata4. Nipen ushaur wakuu

Kaka,amini katika maisha lazima kuna second chance na hapo Mungu kakuletea msichana ambae anakupenda kwa jinsi ulivo na si kwa kile ulichonacho na ndo njia pekee katika maisha,forgive and forget na utafanikiwa maishan na naomba uniamin kwa hilo kaka na ujue huyo msichana kweli ana upendo na ndo mana anamjali hata mdogo wako na wengine uwa wanakupendea coz of somethng n nt the way u are
aisee, cpendi mwanaume asiyejiamini!
..halafu kutendwa ww sio wa kwanza,na haimaanishi huwezi kupendwa tena coz uliumizwa!

Ningekuwa mimi nikute huu uzi hapa ungekuwa umenikata stimu moja kwa moja.