Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,286
- 13,460
Kuna dada mmoja nilimpata humu humu Jf tukapeana namba za simu na baadae tukawa wapenzi mpaka sasa ni miezi 4 toka tuanze uhusiano japo yeye ana mtoto anajitahidi kuonesha mapenzi ya kweli ananipa ushauri mzuri sana na mpaka anaenda kwa ndugu zangu.
Juzi kati alienda kwenye shule anayosoma mdogo wangu na kumwachia kiasi cha sh elf 60 japo yeye hakusema chochote kwangu ila mdogo wangu na kaniambia.
Sasa tatzo huwa nimetokea kutokuwa na imani na mwanamke yeyote japo anaonesha kunipenda sana lakini mimi sina imani nae hata kidogo kwasababu niliwahi tendwa vibaya sana na mchumba wa zamani.
Huyu binti anafanya kazi mbali kama mikoa miwili mpaka nilipo mimi lakini kwa mwezi anakuja mara 3 au hata 4.
Nipeni ushauri wakuu.