multmandalin
JF-Expert Member
- Sep 8, 2012
- 2,034
- 584
Kuna dada mmoja nilimpata humu humu Jf tukapeana namba za simu na baadae tukawa wapenz, mpaka sasa ni miez 4 toka tuanze uhusiano japo yeye ana mtoto anajitahdi kuonesha mapenz ya kweli ananipa ushaur mzur sana na mpaka anaenda kwa ndugu zangu. Juz kat alienda kwenye shule anayosoma mdogo wang na kumwachia kias cha sh elf 60 japo yeye hakusema chochote kwang ila mdogo wangu na kaniambia. Sasa tatzo huwa nimetokea kutokuwa na iman na mwanamke yeyote japo anaonesha kunipenda sana lakn mm sina iman nae hata kdogo kwasababu niliwahi tendwa vbaya sana na mchumba wa zaman. Huyu bint anafanya kaz mbali kama mikoa miwili mpaka nilipo mm lakn kwa mwez anakuja mara 3 au hata4. Nipen ushaur wakuu
We kichaa nini? Utoto unakusumbuwa tu! Unamlilia nani sasa?
Sema tatizo sio unakopesa kopesa hapa!
Hilo ndo Sugar Mummy!
Mpaka ada mshalipiwa au unataka akusimange kama yule mwenye hamu ya Samaki na kujaziwa kiwese?
Pumbaaafffuuuu! Na humu wamejaa kibao ngoja wamwambie!