Ni lulu kweli? If so, huyu mwigizaji alimtoa wapiNdio hivyo ila hii picha imenifanya mi mwenyewe nijicheke mana nina picha zangu za zamani huwa nikiziangalia nacheka sana.
Hahahaaaa. Ila watu tunatoka mbali jamani.
Huenda ikawa ilikuwa ni sehemu ya maigizo yao.Ni lulu kweli? If so, huyu mwigizaji alimtoa wapi
Ndo hivyo,ukimwangalia kipindi kile na jinsi alivyo now,yani ujue ww mwenyewe umekua sana.Ndio hivyo, ila hii picha imenifanya mi mwenyewe nijicheke mana nina picha zangu za zamani nikiwa mdogo huwa nikiziangalia nacheka sana.