Huyu binti ni mgonjwa?

Uhuni tu yeye ndio kanogewa anataka ushauri aendelee na harusi au ahamie kwa hicho kipita njia, amini amini nawaambia, kuchuma mboga kwingi mwisho wake mnakuja kuchuma chungu kama mchunga, wengine hatujaribiwi lazima unase tu!!!!
 
Mh!Una uhakika ukijaribiwa mtu ananasa au ni ulimbuken wetu baadhi ya wanaume ndo unatucost?
 
Leo wakati nafika nyumbani nikamkuta rafiki yangu mmoja ambae anafanya biashara ya nguo yaani ana duka akaniambia kuwa kuna binti alikuja kununua nguo dukani lakini akawa hela ikawa haitoshi,jamaa akamwambia atamsaidia kwani yule binti alimwomba amsaidie hakuwa na hela ya kuongeza ili achukue nguo,tatizo ni kwamba yule binti baada ya kusaidiwa akawa anamwambia yule jamaa kuwa anataka amshukuru kwa msaada jamaa akamuuliza aina ya shukrani binti akamwambia anataka wafanye mapenzi,jamaa akakataa kwani mwezi ujao anafunga ndoa,usumbufu ulipozidi jamaa akaona mke wake mtarajiwa atajua,ikabidi ampe binti anachotaka matokeo binti anasema siku hiyo alienjoy hivyo anataka wasiache jamaa amemwambia kuhusu ndoa yake mwezi ujao binti amesema atajitahidi iwe siri kwani kwa raha aliyoipata hawezi kumwacha jamaa,jamaa amechanganyikiwa,afanyeje????
huyo jamaa ana matatizo, wala asimlaumu huyo binti, yaani wewe unaweza kweli kufanya yaishe??

lazima na yeye alitamani na binti aliona hiyo weakness
 
Yaani bado haoa anakuwa na hawara, akioa je si ndo itakuwa balaa. Aache umalaya wake huyo!
 
huyo jamaa ana matatizo, wala asimlaumu huyo binti, yaani wewe unaweza kweli kufanya yaishe??

lazima na yeye alitamani na binti aliona hiyo weakness

Kwamba huyo binti hapendi kuolewa?
She is definitely trying to get a life from this dude........siku ilivuja kwa huyo mke mtarajiwa si ndoa haitafungwa?
Nadhani huyo binti anajaribu kujifanya 'backup' muafaka ndoa ikiota mbawa.....
 
Najaribu kuimagine wakija kumi kama huyo binti na kwa staili aliyotumia atatembea nao wote, hawezi kushindana na vishawishi??? khaaaa thats too low,
 
leo wakati nafika nyumbani nikamkuta rafiki yangu mmoja ambae anafanya biashara ya nguo yaani ana duka akaniambia kuwa kuna binti alikuja kununua nguo dukani lakini akawa hela ikawa haitoshi,jamaa akamwambia atamsaidia kwani yule binti alimwomba amsaidie hakuwa na hela ya kuongeza ili achukue nguo,tatizo ni kwamba yule binti baada ya kusaidiwa akawa anamwambia yule jamaa kuwa anataka amshukuru kwa msaada jamaa akamuuliza aina ya shukrani binti akamwambia anataka wafanye mapenzi,jamaa akakataa kwani mwezi ujao anafunga ndoa,usumbufu ulipozidi jamaa akaona mke wake mtarajiwa atajua,ikabidi ampe binti anachotaka matokeo binti anasema siku hiyo alienjoy hivyo anataka wasiache jamaa amemwambia kuhusu ndoa yake mwezi ujao binti amesema atajitahidi iwe siri kwani kwa raha aliyoipata hawezi kumwacha jamaa,jamaa amechanganyikiwa,afanyeje????

unajua ukiendelea nae urafiki akili zenu moja so ushauri achana nae
 
Mwambie aache tabia mbaya amejua kabisa anaoa nini kimemfanya aamue kutembea na binti hata hamjui ametokea wapi, halafu ananiudhi anatuuliza tumshauri afanyeje ina maana hajui la kufanya hapo? aachane na huyo demu afocus kwenye ndoa yake ijayo mtu hata humjui unamuoneaje huruma
 
Kosa alilifanya mara ya kwanza alipokubali hiyo shukrani. Aangalie huyo mchumba angegundua kuwa bint analazimisha kutoa shukrani na sasa akijua kuwa ameshapokea shukran na bint analazimisha kuendelea kushukuru ipi itamuuma zaidi mchumba wake?
 
Eti anataka kushauriwa
 
Hapa naona hakuna story mi naona tu huyo jamaa yako alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na huyo dada sasa anataka kujiondoaondoa ili kuficha ufisadi wake kwa mwanandoa mwenzake na amtose huyo binti.....wote ni wahuni tu hakuna lolote hapo.
 
Umeona eeeeee kazi kwelikweli
 
Shukrani ya ngono:pound:

Jamaa ndio mchezo wake anaona binti ameshupalia analeta visingizio
mwambie aache umalaya
 
Huyo jamaa yako anatuzuga tu,hapa ushauri anaoomba ni ili kuhalalisha ufuska wake,wala hakuna cha ushauri au nini?Anatafuta kujua watu wanasemaje juu ya jambo analolifanya na huyo binti.Kwa jinsi ilivyo inaonekana mwuza duka ndiye aliyeanzisha na akapata naye akatoa nguo bure,mengine ni maelezo yake tu kuficha dhambi yake kwa kumsingizia dada wa watu.Acha mara moja vinginevyo utaona moto wake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom