Huyu binti ni mgonjwa?

Ukimwi ni hatari, atawasaidia wangapi?

leo wakati nafika nyumbani nikamkuta rafiki yangu mmoja ambae anafanya biashara ya nguo yaani ana duka akaniambia kuwa kuna binti alikuja kununua nguo dukani lakini akawa hela ikawa haitoshi,jamaa akamwambia atamsaidia kwani yule binti alimwomba amsaidie hakuwa na hela ya kuongeza ili achukue nguo,tatizo ni kwamba yule binti baada ya kusaidiwa akawa anamwambia yule jamaa kuwa anataka amshukuru kwa msaada jamaa akamuuliza aina ya shukrani binti akamwambia anataka wafanye mapenzi,jamaa akakataa kwani mwezi ujao anafunga ndoa,usumbufu ulipozidi jamaa akaona mke wake mtarajiwa atajua,ikabidi ampe binti anachotaka matokeo binti anasema siku hiyo alienjoy hivyo anataka wasiache jamaa amemwambia kuhusu ndoa yake mwezi ujao binti amesema atajitahidi iwe siri kwani kwa raha aliyoipata hawezi kumwacha jamaa,jamaa amechanganyikiwa,afanyeje????
 
Hilo ni tukio la kawaida sana, haina haja ya kuomba ushauri hapa JF, jamaa afanye maamuzi mwenyewe, maana yeye ndye anajua ladha ya hicho kicheche, lakini naona kamemchanganya sana.
 
Inaonekana huyu binti ndo ana matatizo,basi inatakiwa akae nae mbali!
 
Leo wakati nafika nyumbani nikamkuta rafiki yangu mmoja ambae anafanya biashara ya nguo yaani ana duka akaniambia kuwa kuna binti alikuja kununua nguo dukani lakini akawa hela ikawa haitoshi,jamaa akamwambia atamsaidia kwani yule binti alimwomba amsaidie hakuwa na hela ya kuongeza ili achukue nguo,tatizo ni kwamba yule binti baada ya kusaidiwa akawa anamwambia yule jamaa kuwa anataka amshukuru kwa msaada jamaa akamuuliza aina ya shukrani binti akamwambia anataka wafanye mapenzi,jamaa akakataa kwani mwezi ujao anafunga ndoa,usumbufu ulipozidi jamaa akaona mke wake mtarajiwa atajua,ikabidi ampe binti anachotaka matokeo binti anasema siku hiyo alienjoy hivyo anataka wasiache jamaa amemwambia kuhusu ndoa yake mwezi ujao binti amesema atajitahidi iwe siri kwani kwa raha aliyoipata hawezi kumwacha jamaa,jamaa amechanganyikiwa,afanyeje????

mwehu, aokote makopo
 
Sijakuelewa!
 
Jamaa huyo yeye si hataki tena, sasa anashindwa nini kumchana politely kuhusu uhusiano wao? Mwambie mimi nimeshaoa na sipo tayari kuachana na mke kwa sababu yako kwani hata mke akijua na mimi sipo tayari kukuoa, yaani ilikuwa ni tamaa ya ngono tu ndiyo tukado lakini sipo tayari kutema big g kwa karanga za kuonja. Asipomuelewa atakuwa kichwa ngumu.
 
Leo wakati nafika nyumbani nikamkuta rafiki yangu mmoja ambae anafanya biashara ya nguo yaani ana duka akaniambia kuwa kuna binti alikuja kununua nguo dukani lakini akawa hela ikawa haitoshi,jamaa akamwambia atamsaidia kwani yule binti alimwomba amsaidie hakuwa na hela ya kuongeza ili achukue nguo,tatizo ni kwamba yule binti baada ya kusaidiwa akawa anamwambia yule jamaa kuwa anataka amshukuru kwa msaada jamaa akamuuliza aina ya shukrani binti akamwambia anataka wafanye mapenzi,jamaa akakataa kwani mwezi ujao anafunga ndoa,usumbufu ulipozidi jamaa akaona mke wake mtarajiwa atajua,ikabidi ampe binti anachotaka matokeo binti anasema siku hiyo alienjoy hivyo anataka wasiache jamaa amemwambia kuhusu ndoa yake mwezi ujao binti amesema atajitahidi iwe siri kwani kwa raha aliyoipata hawezi kumwacha jamaa,jamaa amechanganyikiwa,afanyeje????

Mi nakushauri bila kujali kama huyo binti anaumwa au la.... ufikishe ujumbe kwa shemeji yetu mtarajiwa ...! kama unahofia kufika straight, basi uandike barua na uweke chini ya mlango wao.... hahahaaa...! Utapata laana duniani, lakini mbinguni baraka...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom