Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 817
Pole mkuu, rudi kwa mkeo maisha yaendelee achana na totoz ni kizunguzungu.
kaka we wa ajabu kweli mwizi kakutana na mwizi mwenzie anaitia mwizi mtakamatwa wote maisha ni kudanganyana kama hapo sasa hao wenzio ni wale uliobahatika kuwafahamu je hao ambao huwafahamu kimeo
Ni kweli kabisa, du yani kweli ni vutuko mimi sijui ana manage vipi kupanga wanaume hivyo
- :majani7:
Jamani hili zee lina laana ati kwanza ni jizi kwa mkewe arafu linatuomba msaada kwa ushenzi linaofanya.Kwa kweli limenitibua sana haya ndo yanatusumbua sisi vijana kwa kutupa UKIMWI.we mzee unajiita kijana kwa kweli unastahili lawama na mitusi sio ushauri kama unavyodai kwenye thread yako.Shenzi mkubwa yaani ningekuwa karibu yako ningekupa na konzi la conclusion aiseeee.KWELI TZ BILA UKIMWI HAIWEZEKANI KABISA.
Sasa kama vipi rudi kwa mkeo!
Sijui kama una kumbuka kutumia kinga! Achana na huyo binti atakupa zawadi ya virus bure ukashindwa kulea familia yako!
Mimi sijui vijana mnafanya nini mana hawa wabinti wadogo wanapenda kutoka na sisi wazee, mimi sijui mtapaje wachumba nyie
hahahahahaaaaa....
Vijana hawawahongi.....
Vijana wana mziki mnene, watatoka hadi jasho laa kwapa kwenye kuduu wakati wazee kimoja tu katosheka...cha pili mpaka akitafuteeeeeeeeeeee na kinaweza kisije
vijana wasumbufu si umeona mwenyewe kutwa kupiga simu....wakati mzee humtafuti ukirudi kwako uko busy na mkeo.....
Eeeh??! Man...
Ebu niondoke apa upako wangu usijeishia apa.
mwache binti wa watu apate wake wa kumuoa. wewe nenda katulizane na mkeo.kwanza utkuwaje na wivu kwa vitu vya kuiba.
Aisee dozi nilikuwa nampatia ya kueleweka tu