Sura?Wew unaona kajipatia... Picha inaonyesha kashika ua afu mwenyew halisi kashika picha... Sasa huoni kakosea kujichora
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀...Wew unaona kajipatia... Picha inaonyesha kashika ua afu mwenyew halisi kashika picha... Sasa huoni kakosea kujichora
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejuaje kama kajichora na siyo kachorwa na mtu mwingine?...Sura?
Basi yuko vizuri sana...Ndivyo anavyodai mwenyewe,anatafuta sponsor to further her education!