Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,502
- 64,837
Ha ha ha mkuu uvumilivu unataka kunishindaUlivyokula kimasihara hukutwambia, sasa ni zamu yake kulamba asali
Kweli mkuu, anasema ata akiwa mzee lazima awe smart, kwa sababu mimi nilimuona na kumpenda kwa sababu ya muonekano wake mzuri; kwa gharama anazonipatia, natamani nikae pembeni, ingawa anaujauzito tayari.Umeingia kwa mahusiana hamuendani
Namna ya kumuambia aende kwao ndio tatizo, nitaanzia wapi, nitaonekana namfukuza. Kwa sababu amesema jumapili anaondoka, ndio namsubiria tu, akiondoka tu, napoteza mawasiliano.Si umpe nauli aende kwao
Tulikutana mazingira ya starehe, na wote tulikuwa wanywaji; kuna kipindi natumia sana na kuna kipindi situmii sana, ili nitimize malengo yangu ya kimaendeleo.ulifeli mwanzon inaonekana uliingia kwa gia ya kuwa una mihela
Na yeye anatembea na beat la Kwanza uliloingia nalo kuwa upo financially stable
Mueleze ukwel tu kuwa maisha yako n tia maj tia maji
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Huyu ni mchepuko, ndio maana simpi ukaribu wa kutosha; nilipenda kuzaa naye kwa sababu ya muonekano wake kuwa mzuri tu.Mimba ya ngapi mzee baba? Naulizia hivyo Kwa sababu haiingii akilini mtu ana mimba yako halafu seriously unamruhusu kwenda club peke yake usiku. Au ndo vile binadamu tunatofautiana sana
Leta ushauri mkuuMkuu kuwa mwanaume basi acha kuwa kama umebalehe karibuni
Mtu ana kiumbe chako unataka kumpotezea?damu yako alee nani?Namna ya kumuambia aende kwao ndio tatizo, nitaanzia wapi, nitaonekana namfukuza. Kwa sababu amesema jumapili anaondoka, ndio namsubiria tu, akiondoka tu, napoteza mawasiliano.
Hata sisi tulikuwa tunawekewa mkuuSiku vichocheo vikiondolewa kwenye mwili wa mwanaume, taasisi ya ndoa itakufa siku hiyo hiyo.
Heri yetu sisi tuliosoma shule za boys. Tulikuwa tunawekewa 'mafuta ya taa' kwenye maharage kwa hiyo miili 'haitusumbui' πππ
Mkuu puna na YaleYale puna ni sehemu moja?[emoji779][emoji779] URGENT SALE[emoji779][emoji779]
[emoji298]Kiwanja Kina Hati Kinauzwa
[emoji298]Maeneo ya Kigamboni Puna Block L
[emoji298]Nauza bei ya Discount 6,000,000
[emoji298]Ukubwa wa kiwanja ni SQM 520
[emoji298]Huduma ya maji na umeme ipo
[emoji298]Tika feri ni Kilometer 30
[emoji298] Nipigie 0689 051480
[emoji298]Niamini nauza bei nzuri sana kwa maeneo hayo kiwanja kama icho ni kuanzia mil 10
ππMtu ana kiumbe chako unataka kumpotezea?damu yako alee nani?
Be a man, mshape unavyotaka. Akiomba hela km unaona hicho kitu sio cha maana mkatalie.
As long as ni mjamzito you have the upper hand ktk mahusiano yenu.
Na km humtaki tena mwambie kabisa kuliko kumpotezea, then yy aamue km kuikeep io mimba au kuitoa.
By theway acha hasira za kitoto, unachomaje nguzo za mwenzi wako? Did that solve any thing?
Hizo ni dalili violence in you, jitahidi kuzuia hasira zako otherwise ipo siku utakua na kesi ya kujibu.
Otherwise Good Luck.
Walipambana kuokoa uhai kwanza; wapo wanaojali uhai kwanza, pesa inafuata mkuuYaani mgonjwa karuhusiwa kwenda home bila kulipa bill?? [emoji2][emoji2]....unatuonaje mzee..?