pia wanaangalia na sehemu ambayo atapata mtoto mzuri, mfano mwenye akili, mweupe mrefu n.k.Yupo sahihi wengi wao wanatamani kuwa na mtoto tu coz kupata mume wa ndoa imekuwa ngumu
Sikuhizi hakuna waoaji, yupo sahihi kabisa
Hakuna waoaji ni wazinguaji, Hizi ndoa zote hizi zinazovunjika kila uchwao huoni?hizi harusi zote hizi tunazokimbia michango.. unasema hakuna waoaji??
Afu wanaume wenzako wakulelee mtoto?ana akili kama yangu,na mimi nataka kuzalisha tu!
SimuliaHakuna kitu kibaya kama kulea mtoto wa mzazi mmoja, ngoja kuna clip nakuwekea sasa hivi. Hua inaniumiza sana sana sana maana hii style ya maisha tunayoichagua ni mbaya sana japo hatuioni kwa sasa. anaelezea na matatizo au matokeo ya kuwa na watoto wasio na wazazi wote waili. sikiliza ukishindwa niambie nikusimulie
Natoa huduma hio kwa gharama nafuu karibu.Na Mimi nataka mtoto!!?