Huyu binti ameniletea balaa

Kandambili1

JF-Expert Member
Jul 21, 2022
423
1,119
Ndugu habari za jumapili.

Nilikuwa na mahusiano na binti niliempenda sana na kuwa na malengo nae mengi sana. Kitu ambacho sikujua binti ni muathirika na kwa mujibu wake anatumia dawa.

Ilikuwa kama bahati tu baada ya kutafakari maisha yangu, nikamgusia suala la kupima, akakaa kmya muda mrefu ila usiku akaniuliza swali linaloonesha ameathirika aliachiwa na mama na anatumia dawa akawa anaulizia je nitamkubali au nitamkataa.

Mara ya mwisho nimekutana nae June 12 , sikuweza kumeza Prep kwani siku zilikuwa zimeenda Sana ..wakuu na nmesubiri zipite siku 40 majibu nipo Safi je niwe na amani wakuu?.

Carlos The Jackal rikiboy

Sky Eclat
IMG_20220731_092647.jpg
 
Kuwa na Amani kama Vipimo vimekwambia hivyo ishi maisha yako na amani

Kulala na mwanamke mwenye ukimwi haikugarantee kupata ukimwi acha hizo kula maisha kijana, ila jifunze sasa usirudie makosa
Mkuu hofu niliyonayo ni kubwa sana sina amani kabisa..pia majibu ya siku 40 yana uzito?
 
Huyo manzi hakuwa na mucus zile nzito za kupiga makofi mkuu mpaka unapata hofu?
Ndugu habari za jumapili.

Nilikuwa na mahusiano na binti niliempenda sana na kuwa na malengo nae mengi sana.

Kitu ambacho sikujua binti ni muathirika na kwamujibu wake anatumia dawa.

Ilikuwa kama bahati tu baada ya kutafakari maisha yangu, nikamgusia suala la kupima, akakaa kmya muda mrefu ila usiku akaniuliza swali linaloonesha ameathirika aliachiwa na mama na anatumia dawa akawa anaulizia je nitamkubali au nitamkataa.

Mara ya mwisho nimekutana nae June 12 , sikuweza kumeza Prep kwani siku zilikuwa zimeenda Sana ..wakuu na nmesubiri zipite siku 40 majibu nipo Safi je niwe na amani wakuu?.

Carlos The Jackal
rikiboy
Sky Eclat View attachment 2309646
 
Yaah kuwa na amani siku 40 japo haijafika miezi 3 ila inatosha kabisaa kusema kama ushaukwaa...
 
Back
Top Bottom