G_real
JF-Expert Member
- Aug 23, 2019
- 684
- 851
Habari za saizi wakuuu?
Mwezi uliopita nilikua na demu mahusiano yetu hayukudumu saaana sababu alikua anamambo mengi.alikua na rafiki yake wakaribu saaana mda woote wanashinda pamoja.huyo kwa kipindi hicho tulikia tunaitana shemeji but juu juu tu.
Sasa siku moja niliazima chaji kwa huyo demu wangu akanambia ipo kwa rafiki yake ambaye ndo huyo shemeji niende nikachukue.nikawa nimeenda kufika kule akanipatia chaji akadai anisindikize mpaka maghetoni tukiwa njiani nikamuuliza swali kiutani tu kuwa rafiki yake anipotezei mda au hupo serious na mimi.basi nilivyo mwambia ivyo kama nilipalia Moto na mafuta.akaanza kunifungulia mambo ya rafiki yake mengi kwamba ananipotezea mda na kunionesha mpaka ma bwana zake wengine. kiukweli niliumia saana but nikafanya maamuzi nisije kumtumia text Wala kumjibu huyo bibie wangu na nikamuweka backlist palepale.
Basi nikamuomba namba yake usiku tulichat mpaka saaa 6 nikamtongoza akakubali siku hiyohiyo.tulianza vizuri saana na nilianza kumpenda sasa kuanzia tarehe moja mwezi huu ameacha kupokea simu zangu na kujibu text naweza tuma text 20 nikajibiwa moja tu nashindwa kumuelewa kabisa sijui nimekosea wapi wakuu??