Huyu bibie simuelewi

Habari za saizi wakuuu?
Mwezi uliopita nilikua na demu mahusiano yetu hayukudumu saaana sababu alikua anamambo mengi.alikua na rafiki yake wakaribu saaana mda woote wanashinda pamoja.huyo kwa kipindi hicho tulikia tunaitana shemeji but juu juu tu.sasa siku moja niliazima chaji kwa huyo demu wangu akanambia ipo kwa rafiki yake ambaye ndo huyo shemeji niende nikachukue.nikawa nimeenda kufika kule akanipatia chaji akadai anisindikize mpaka maghetoni tukiwa njiani nikamuuliza swali kiutani tu kuwa rafiki yake anipotezei mda au hupo serious na mimi.basi nilivyo mwambia ivyo kama nilipalia Moto na mafuta.akaanza kunifungulia mambo ya rafiki yake mengi kwamba ananipotezea mda na kunionesha mpaka ma bwana zake wengine. kiukweli niliumia saana but nikafanya maamuzi nisije kumtumia text Wala kumjibu huyo bibie wangu na nikamuweka backlist palepale. basi nikamuomba namba yake usiku tulichat mpaka saaa 6 nikamtongoza akakubali siku hiyohiyo.tulianza vizuri saana na nilianza kumpenda sasa kuanzia tarehe moja mwezi huu ameacha kupokea simu zangu na kujibu text naweza tuma text 20 nikajibiwa moja tu nashindwa kumuelewa kabisa sijui nimekosea wapi wakuu??
Kwa hiyo ulim-block bila hata kumuuliza? Zamu yako sasa ku-block-iwa bila kuulizwa...
What goes around comes back around
 
Kwa hiyo ulim-block bila hata kumuuliza? Zamu yako sasa ku-block-iwa bila kuulizwa...
What goes around comes back around
Nilimuuliza baada ya kuonananae aka panic basi kila mtu akachukua 50% zake
 
Yaani wewe ulitema bigijii Kwa karanga za kuonjeshwa eeh, pole inaonesha huna msimamo pia ukiambiwa kitu hutafakari kwanza unachukua maamuzi tu.
 
Kama aliweza kumzunguka rafk yake akatoka na wewe huwaz anawez kutka pia na rafk yao au mtu mwngne??kama ni fuckmate endelea nae ila kama unamalengo apo hamna kitu mkuu
 
Kama aliweza kumzunguka rafk yake akatoka na wewe huwaz anawez kutka pia na rafk yao au mtu mwngne??kama ni fuckmate endelea nae ila kama unamalengo apo hamna kitu mkuu
Kweli mkuu 100%
 
Back
Top Bottom