Huyu bibi cheka toba!

Mi like vibaya mno bibi keep it up...
 
50CENT uko wapi tuna msanii hapa bongo!
 
kama anakipaji ndio wamvalishe kama wao?
wanamdhalilisha huyo bibi,ndugu zake wangewakataza.
 
kafanana na diof wa twanga,
nani anabisha
 
Bibi jilie maisha, hakuna cha too late.

Hatuwezi jua ujana wako ulikuwa mgumu kiasi gani.

Kula bata, tengeneza pesa, uongeze siku za kuishi kama bi kidude aliyeanza akiwa na miaka kumi kwenye majahazi.
 
50CENT uko wapi tuna msanii hapa bongo!

Nilikua najiandaa kumtetea bibi cheka ila nilivyoingia ndani nakuona haya maswaga yake nikajikuta hoi.
kwa kifupi bibi amepinda.
Temba acheni kumvutisha bangi mbibi wa watu.
 
Nilikua najiandaa kumtetea bibi cheka ila nilivyoingia ndani nakuona haya maswaga yake nikajikuta hoi.
kwa kifupi bibi amepinda.
Temba acheni kumvutisha bangi mbibi wa watu.
Tena sio kupinda, bibi amenyongorota! Hv ana watoto kwel?
 
shes persuing her dream mbona wabongo hamna utu? hakupata nafasi kushine enzi izo..........mbona justin bieber , bow wow kang'aa akiwa mtoto hamkusema shule itamshinda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…