Huyu Beki 3 nimfanyeje?

Ndoa haina mwaka...so hata mtoto bado....house girl wa nini sasa?

Huyo mkeo hajielewi...
 
Umetisha mkuu, me ndio nipo kwenye huo mtego ndugu yangu yani daah.
 
Mtie

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Umekuwa mzalendo sana kumwambia mkeo. Si wanaume wengi wanaoweza hilo.

Huyo HG ana ajenda yake. Utamaduni wa kukumbatiana hivyo ni wa ki liberali sana kwetu huko.

Mtihani wako mgumu.

Ushamwambia wife, kapotezea.

HG anakutega.

Kama kweli HG anazidi kukutega na wewe unaipenda ndoa yako, akipitisha mipaka mchimbe mkwala. Mwambie habari fulani fulani hufagilii.

Hapo utakuwa umemtoa wife katika mchakato kwa sababu yeye anamuamini sana huyo HG. Halafu wewe utakuwa ume deal na HG directly.

Inawezekana pia HG ana utoto tu na hajaelewa mipaka anataka kuishi ki MTV halafu wewe mzee wa kuliamsha mapema.

Unaweza kumueleza wazi kabisa kwamba wewe hutaki mahusiano yako na yeye huyo HG yapelekee yeye HG kuondolewa kazini hapo, na kwamba akifanya mambo fulani usiyoyapenda unaweza kufika huko.

Kifupi unatakiwa kuwa mwanamme mwenye msimamo usioyumbishwa nyumbani kwako.

Kwa watu wanaoelewa maadili ya sehemu ya kazi, muajiri kutembea na muajiriwa ni kama sexual harassment. Mtu anaweza kusema umemlazimisha kutoa rushwa ya mapenzi/ ngono ili aendelee kuwepo kazini.

Sent from my Kimulimuli
 
Sasa mazee unakataa kumdhalilisha mkeo kwa kula beki tatu halafu unaona kula mdogo wa mkeo sawa kabisa?

Watu tuko tofauti sana.

Ukila mdogo wa mkeo hiyo mbona ni scandal kubwa yenye kudhalilisha zaidi ya kula HG hata kama zote zinadhalilisha?

Vipi mkeo akiliwa na mdogo wako? Utaona familia yenu imempenda tu na kumuongezea waume?

Hizi ni mila za kwenu au vipi? Maana naweza kukushangaa kumbe kabila lenu mambo kama haya ni ya kawaida kabisa.

Sent from my Kimulimuli
 


What a wonderful comment!
Kuishi na Mke mkiwa wawili tu ndani ya nyumba self contained Ni Raha.
 
Tafuna tu

[HASHTAG]#NitasemaUongoDaimaUkweliKwanguMwiko[/HASHTAG]
 
Mpaka akimbie mwenyewe

[HASHTAG]#NitasemaUongoDaimaUkweliKwanguMwiko[/HASHTAG]
 

Ni kweli mkuu tena nasikia kuna tuvitu vitu wanapewaga eti vingine wananuiza au wanapaka kule mahala ukigusa tu you are gone for good. kuna njia mbili aidha kumtimua kwa gharama yeyote akishindwa akemee mpaka beki tatu alegeee...
 
Mchukulie poa ndugu,muone kama Dada,usile kabisa,tunda haramu,
Ukila tu,umeharibu ndoa yako,hilo kosa,litakutesa kwa muda mrefu sana,ukitaka kula muwaze kwanza mkeo,je akikufanyia hivyo,utavumilia?
I speak from experience,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…