Huyu Baraka de Price yupo rafu sana.... utafikiri sio kioo cha jamii

aaahahahaaa! Mkuu Jitu Jeusi huna lolote sema tu ulitaka kutuonesha nawewe una flat tv, ila nmegundua kumbe wew bado ni bonge la mshamba miaka 100 afu unaangaliaje channel za ajabu ajabu kama EATV. Ama kweli ushamba mzigo.
Duuu kwa hiyo we mjanja unaangalia Chanel Gan
Watu mliozaliwa porin mkishafika mjin mnambwembwe

Unaweza kuta TV umeanza kuangalia bada ya kuja mjin
 
Back
Top Bottom