PERAMIHO YETU
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 6,288
- 17,331
Dubai alishapigwa chini toka enzi za Magu. Siku hizi anababia kwenye social media na mkewe wa mchongo.Balozi wa Tanzania huko Dubai lakini muda mwingi anakuwepo Dar. Geti jeusi.
Dada yako hajapewa talaka aliondoka mwenyewe mbweni baada ya kuona jamaa kaoa yule mtangazaji. Mwamba yeye anattembeza mkwaju kwa yeyote aliye mbele yake bila kujali umri wala HIV status.Ninavyojua mimi amefanya kazi balozi sita mpaka sasa kaka mtumishi wa ubalozini ,aliwekwa nje na mfumo wa kaka mzilankede sababu ya mahaba yasiyomithirika kwa babu matezi ila zaidi ana uhusiano wa kindugu na dada HAWAKUMBUKI wa huko mleba adui wa dada Irene Darton wa pale jamvini kwa mjomba Max
Mwisho namtambua kama shemeji kwa kumuoa binamu yangu na kumtariki mwaka 2016 .
Ni hayo tu
Lijinga sana hilo lishemeji kazi kujifanya linajua protocol kumbe njaa tuDada yako hajapewa talaka aliondoka mwenyewe mbweni baada ya kuona jamaa kaoa yule mtangazaji. Mwamba yeye anatibgiza yeyote alite mbele yake bila kujali umri wala HIV
Akiwa Dubai alikua anaagiza mademu bongo.Lijinga sana hilo lishemeji kazi kujifanya linajua protocol kumbe njaa tu
Kwa hilo lisjah kuubwa kama chapati kwenye paji lake jeusi mwamba ana uhakika wa kubadilika kuwa mwarabu akifa. Hii sijdah siyo ya kawaida itakuwa aliipata kwa kutumia mionzi ya laser.View attachment 3539904
Ninaomba mwenye cv ya Omar Kishera maana namwona sana mitandaoni hasa Istgaram akiunguruma na vipindi mbalimbali vya elimu kwa UMMA na kwa Taasisi binafsi.
Je, ni miongoni mwa vigogo waliowahi itumikia Tanzania wakiwa na elimu nzuri ila walifubazwa na mifumo ya nchi hii?
Je, akili zake zimerudi baada ya kutoka serikalini?
Sasa amekuja na simulizi dhidi ya Hayati Membe na yeye zinasimua kule Istagram je ni nani mwamba huyu katika diplomasia za Tanzania?
Kwa umahiri anaoonesha akiwa na sigida kwenye paji la uso seems ni waliochezewa na mfumo wetu mwishowe yupo nje ya system akitema madini
Je, ni nani mtu huyu?
Huyu jamaa hamna kitu 3 vitu anavoongea tulifundishwa na wazee watu who never gone to schools . Jamaa anajipigia hela tu kwenye maseminaNchi hii ,imekua na ma spy uchwara tangu uhuru ,na imekua kama kurisishana , na mbaya zaidi wengi ni vilaza
Kwa hilo lisjah kuubwa kama chapati kwenye paji lake jeusi mwamba ana uhakika wa kubadilika kuwa mwarabu akifa. Hii sijdah siyo ya kawaida itakuwa aliipata kwa kutumia mionzi ya laser.
View attachment 3578984
Jagina Adiosamigo
adriz de mbusii
Najua kuwa hakuwahi kufika hadhi hiyo ila ni lini ameacha kujitqnabaisha kama balozi ndugu ?Akiwa Dubai alikua anaagiza mademu bongo.
NB: Hakufikia hadhi ya Balozi kamili
Jamaa anapambania hata u-DCNi balozi mstaafu, msomi na mwanadiplomasia mkubwa. Namfahamu ni Udsm millenium
Nani mkali wa Sijdah kati ya Kashera na Prof Assad?Kwa hilo lisjah kuubwa kama chapati kwenye paji lake jeusi mwamba ana uhakika wa kubadilika kuwa mwarabu akifa. Hii sijdah siyo ya kawaida itakuwa aliipata kwa kutumia mionzi ya laser.
View attachment 3578984
Jagina Adiosamigo
adriz de mbusii
Nani mkali wa Sijdah kati ya Kashera na Prof Assad?View attachment 3586909View attachment 3586909Kwa hilo lisjah kuubwa kama chapati kwenye paji lake jeusi mwamba ana uhakika wa kubadilika kuwa mwarabu akifa. Hii sijdah siyo ya kawaida itakuwa aliipata kwa kutumia mionzi ya laser.
View attachment 3578984
Jagina Adiosamigo
adriz de mbusii
Baloz wa nyumba 10?Ni balozi mstaafu, msomi na mwanadiplomasia mkubwa. Namfahamu ni Udsm millenium mwenzangu