Huyu Balozi Omar Kashera ni nani?

Huyu Balozi Omar Kashera ni nani?

Malaya mmoja mzuri sana , hajawahi kuwa balozi ila amewahi kuwa afisa wa kawaida kwenye ofisi za ubalozi hasa ule wa kudumu kule kwa demu wa mwamba wa miaka ile , ila mengine ni mbwembwe tu hakuna la maana
Jamaa huwa haachi demu yeyote anayepita mbele yake. Kajenga mbweni huwa anatongoza hata ma-house girl wa kitaa.
 
View attachment 3539904

Ninaomba mwenye cv ya Omar Kishera maana namwona sana mitandaoni hasa Istgaram akiunguruma na vipindi mbalimbali vya elimu kwa UMMA na kwa Taasisi binafsi.

Je, ni miongoni mwa vigogo waliowahi itumikia Tanzania wakiwa na elimu nzuri ila walifubazwa na mifumo ya nchi hii?

Je, akili zake zimerudi baada ya kutoka serikalini?

Sasa amekuja na simulizi dhidi ya Hayati Membe na yeye zinasimua kule Istagram je ni nani mwamba huyu katika diplomasia za Tanzania?

Kwa umahiri anaoonesha akiwa na sigida kwenye paji la uso seems ni waliochezewa na mfumo wetu mwishowe yupo nje ya system akitema madini

Je, ni nani mtu huyu?
Huyu jamaa ni mpambe wa wenye nguvu tangu akiwabebea mabegi kina Mkapa na Kikwete.

Podcast yake imekaa kimkakati kusukuma narrative fulani hivi.
 
Namsikiliza sana lakini mambo anayoongea ni yakawaida sana.
Jamaa kakaa kaona watu intelligent wana podcasts zao, na yeye kaiga bila ya kuwa na hiyo intelligence.

Ana ji expose tu utupu wake na jinsi Tanzania watu wanavyoweza kukaa sehemu nyeti kwa kubumbabumba tu.
 
Mjanja mmoja wa mjini. Penda sana kuoa watoto wazuri.

Motivational and career coach.

Vijana wa JK hao walitupwa nje na Magu.
umenena
namkubali sana hasa kwenye masuala ya diplOmasia na itifaki. alikuwa anafanya kazi wizara ya mambo ya Nje enzi za BM kisha akahamishiwa New York kipindi cha JK sasa hivi yupo Tz kama Rais wa Kituo cha Diplomasia na itifaki. CV yake sina ila najua ni ant-samia gang. Kijana mtiifu wa JK
a Rais wa Kituo cha Diplomasia na itifaki. huu ujinga wadanganye watoto
Diplomasia ya nn dunia ya leo jamaa mjanja mjanja Mzee wa kuoa na kuacha
umenena
Yeye mwenyewe aliniambia kwamba yupo hapa Tanzania lakini ni balozi kule Dubai, akaniambia anafundisha shule ya diplomasia, wakati huo hizi video zake hazijaanza kusambazwa instagram.

Hiyo ilikuwa mwaka jana mwanzoni. Mtu mzima hawezi kunidanganya mimi mtu mzima mwenzake.
ulidanganywa kama mtoto mdogo na mchanga aliona umbulula na ushamba na ujinga wako. ungekuuuwa na simu unge google jina lake
Ninavyojua mimi amefanya kazi balozi sita mpaka sasa kaka mtumishi wa ubalozini ,aliwekwa nje na mfumo wa kaka mzilankede sababu ya mahaba yasiyomithirika kwa babu matezi ila zaidi ana uhusiano wa kindugu na dada HAWAKUMBUKI wa huko mleba adui wa dada Irene Darton wa pale jamvini kwa mjomba Max

Mwisho namtambua kama shemeji kwa kumuoa binamu yangu na kumtariki mwaka 2016 .

Ni hayo tu
umeua
Atakuwa amebadilishwa na Rais SSH lakini alishafanya kazi hiyo hiyo anayoifanya Yacoub.
da we jamaa unadanganywa mno na sana haunaga hata smart?????
Kuoa na kuacha sio tatizo. Je anachoongea ni kweli? je ni kweli ni mzoefu?? Uzoefu unambeba sana amekuwa Afisa wa Ubalozini pale New York kwa muda mrefu sana baada ya kufanya Pia Dubai na nchi nyingine Kadhaa. amekaa serikalini muda Mrefu sana wakati wa Serikali ya JK alikuwa mtu Muhimu sana kwake. hayo mambo binafsi ya zipu mbovu kila mwanaume anafanya
da watu sijui data mnatolea wapi
Kwa hyo huyu n kitombi tu maana kuoa na kuacha sio sifa nzuri

swali n balozi au n mtumishi tu ndan ya ubalozi?

Asike kuwa anazidanganya pisi kali kuwa yeye n balozi kumbe mbeba vijarida ndan ya ubalozi
anadanganya wapumbavu pisi hata madereva wa serikali wanawadanganyia STK nizao na wanawazalisha
Dubai alishapigwa chini toka enzi za Magu. Siku hizi anababia kwenye social media na mkewe wa mchongo.
umenena
Dada yako hajapewa talaka aliondoka mwenyewe mbweni baada ya kuona jamaa kaoa yule mtangazaji. Mwamba yeye anattembeza mkwaju kwa yeyote aliye mbele yake bila kujali umri wala HIV status.
hovyo
Akiwa Dubai alikua anaagiza mademu bongo.

NB: Hakufikia hadhi ya Balozi kamili
tabia mbovu
Kwa hilo lisjah kuubwa kama chapati kwenye paji lake jeusi mwamba ana uhakika wa kubadilika kuwa mwarabu akifa. Hii sijdah siyo ya kawaida itakuwa aliipata kwa kutumia mionzi ya laser.

View attachment 3578984
Jagina Adiosamigo

adriz de mbusii
tafuta mchanga wa pwani ndani ya wiki hiyo sigida ya kitoto unapata
Ni balozi mstaafu, msomi na mwanadiplomasia mkubwa. Namfahamu ni Udsm millenium mwenzangu
sio balozi
Huyu jamaa hamna kitu 3 vitu anavoongea tulifundishwa na wazee watu who never gone to schools . Jamaa anajipigia hela tu kwenye masemina

Hivi at age of 35 unifundishe namna ya kutafuna. Mambo ya hovyo sana
umenena
Daahh watu wana ma file balaa.
file gani.
Huyu mwamba ana madini sana
yapi??????????
Malaya mmoja mzuri sana , hajawahi kuwa balozi ila amewahi kuwa afisa wa kawaida kwenye ofisi za ubalozi hasa ule wa kudumu kule kwa demu wa mwamba wa miaka ile , ila mengine ni mbwembwe tu hakuna la maana
umenena
Huyu jamaa ni mpambe wa wenye nguvu tangu akiwabebea mabegi kina Mkapa na Kikwete.

Podcast yake imekaa kimkakati kusukuma narrative fulani hivi.
umenena
Jamaa kakaa kaona watu intelligent wana podcasts zao, na yeye kaiga bila ya kuwa na hiyo intelligence.

Ana ji expose tu utupu wake na jinsi Tanzania watu wanavyoweza kukaa sehemu nyeti kwa kubumbabumba tu.
umenena.
kwa msio mfahamu ni njaa na janga la Chawa hapa Tanzania.
alisoma ndio ila hajawahi kuwa balozi ina watu wanachanganyikiwa na ile neno kabla ya jina NDC ambayo ni kama CPA ilka wanaipata wakisoma chuo cha NDC pale dsm.

huyu jamaa anafanya nione kwa nini edwin snowden aliamua kuwa kimbia marekani na kuvujisha siri.

inaumiza hasa unavyo muona mtu mnafiki kama jamaaa. akipotosha mambo ya ukweli kanbisa.

bora kipindi cha IJUE DIPLOMASIA cha goodluck kingeendelea. Hichi cha Uongozi hakina tofauti na cha polepole. Duniani amna shule ya maraisi watu wanasomea Leadership school na hawawi viongozi wowote.

jamaa ni Enemy of state no 1.
 
umenena

a Rais wa Kituo cha Diplomasia na itifaki. huu ujinga wadanganye watoto

umenena

ulidanganywa kama mtoto mdogo na mchanga aliona umbulula na ushamba na ujinga wako. ungekuuuwa na simu unge google jina lake

umeua

da we jamaa unadanganywa mno na sana haunaga hata smart?????

da watu sijui data mnatolea wapi

anadanganya wapumbavu pisi hata madereva wa serikali wanawadanganyia STK nizao na wanawazalisha

umenena

hovyo

tabia mbovu

tafuta mchanga wa pwani ndani ya wiki hiyo sigida ya kitoto unapata

sio balozi

umenena

file gani.

yapi??????????

umenena

umenena

umenena.
kwa msio mfahamu ni njaa na janga la Chawa hapa Tanzania.
alisoma ndio ila hajawahi kuwa balozi ina watu wanachanganyikiwa na ile neno kabla ya jina NDC ambayo ni kama CPA ilka wanaipata wakisoma chuo cha NDC pale dsm.

huyu jamaa anafanya nione kwa nini edwin snowden aliamua kuwa kimbia marekani na kuvujisha siri.

inaumiza hasa unavyo muona mtu mnafiki kama jamaaa. akipotosha mambo ya ukweli kanbisa.

bora kipindi cha IJUE DIPLOMASIA cha goodluck kingeendelea. Hichi cha Uongozi hakina tofauti na cha polepole. Duniani amna shule ya maraisi watu wanasomea Leadership school na hawawi viongozi wowote.

jamaa ni Enemy of state no 1.
Mtu mzima hawezi kudanganywa mpaka aende akachungulie google, huwa hatuongei kama watoto wa sekondari au shule ya msingi.
 
Mtu mzima hawezi kudanganywa mpaka aende akachungulie google, huwa hatuongei kama watoto wa sekondari au shule ya msingi.
mpaka sasa hujajua umeganganywa????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????usifanye nikutukane ndugu. mpaka sasa unaamiuni ni balozi ficha upumbavu wako mzeee wewe. watu wazima ndio wanaongoza kwa ujinga kwa sababu eli mu wengi hawan ana hawakusoma ficha upumbavu wako.
watu wazima ndio wanaoongoza tutrapeliwa kudfanganywa kwa mapenzi endeleza wewe
 
Mtu mzima hawezi kudanganywa mpaka aende akachungulie google, huwa hatuongei kama watoto wa sekondari au shule ya msingi.
hii koment uliyoitoa.

Hakuna mwanajeshi wa Uganda aliyekuja kuzima vurugu za uchaguzi mkuu, wahuni walishughulikiwa na vijana wa hapa hapa nchini.

Mmepatwa na wasiwasi mkubwa baada ya tume nyingine kuundwa na Rais SSH, mkae kwa kutulia.

inaonyesha wewe ukoje kichwani pamoja na unaouita utu uzima. na unafikiri umri mkubwa ni sifa
 
Back
Top Bottom