Huyu baba vipi? Na mtoto nae vipi ?

Judgment

Member
Nov 1, 2011
45
13
Wakiwa wameketi veranda mara
Mtt;- Baba naomba mtaji nna biashara nataka kufanya
Baba :- Biashara gn mwnangu?
Mtt :- Baba km unaamua kunipa nipe, biashara yng c lazima nikwmbie
Baba :- Haina neno kesho bac
Kesho yake baba akampa mwanae laki 3, ht hivyo baba akawa makini kufatilia kimyakmy na kw cri ni biashara ipi mwanae anaifanya, wiki 1 baadae baba akiwa ktk upaparazi wake akamuona mwanae yuko viwanja na demu mkali sn! Baba akanyata na kukaribia walipo akiwa amekingwa na maua alikojificha na akickia,kuona yote yaliokua yakizungumzwa na wapenzi wale, mwanae alikua mara kampiga denda dem, mara kamshika saburi mara kamshushia mkono "kunako" kumnawa saana, mara dem katepeta kaanza kuomba gemu, dogo haoneshi dalili za kumpa mambo demu, dem muhemko ulipomix na kuzingatia kwao mambosafi za kifasadi za kumwaga akaanza Demu:- Yaani swit ukinipa gem nakupa laki 1 Jamaa:- kimya
Dem:- Nipe mambo banaa nakupa laki 3!
Jamaa :- kachuna
Demu akawa anapandisha dau juu ya dau ilipofika laki 7 baba mtu uzalendo ukawa hola c akakurupuka kitu kimesha'stand huku akipayuka "mwanangu niachie mie! Mie bure tu! Ctaki ht sh 5 yake!" Mtt nae anapayuka "baba- baba UNANIHARIBIA BIASHARA YNG! HUYU ALIKUA ANAFIKA M1 AU M1 NA POINT NDY NIMPE MAMBO!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom