Huyu baba ni muhuni sana please help!

aisee unaonaje tukamfanyie mchezo ili aache hiyo tabia tumlie dili aliwe kiboga akome kabisa.
Pambaf anachezea makalio ya darasa la saba.
Huyu utakuwa hata vitoto vya kiume anavila.
Sasa vipi tutengeneze mchezo au????

Are u serious?mkuu kumbuka huyu ni baba ake mzazi!hapo utakua unajenga unabomoa?angekua babako ungemfanyia huo mchezo?na akigeuka akawa shoga unaona tatizo ndo litaisha au utaanzisha kubwa kuliko!
Ukiona mtu mzima analia ujue yamemfika!
 
Asante sana Bi mkubwa. Mimi ni graduate lakini nahangaika kutafuta ajira na mama yangu ni mfanyakazi wa serikalini!

pole sana kwa yanayokukuta. nadhani mzee wako anatafuta sababu ya kukufanya uhame hapo home.
kwa umri na elimu yako nadhani ni vyema ukatafuta njia nyingine ya kutafuta riziki badala ya kusubiri ajira.
je umewahi zungumza na wazazi wako kuwaomba msaada wa kuanzisha biashara itakayokufanya uanze maisha
ya kujitegemea?

sidhani kama "fasihi bubu" unayomfanyia baba yako itaondoa tatizo bali itazidi kukuweka mbali na mzee wako
na mwisho utashindwa hata kumuomba msaada wa kujikwamua kiuchumi-
 
Umejipangaje na wewe usijekuwa kuwa kama baba yako..?Waswahili wanasema mtoto wa nyoka ni nyoka..Pole

Mimi sio mchafu na wala sio limbukeni wa mapenzi. Natumia muda mwingi kuhangaika kuandika barua za kazi huku nikijifunza sana lugha za kigeni kwa kuwa ndio kitu na penda sana!
 

Kwanza sio mademu wanamfuata bali yeye ndio anavifuata vibinti vidogo sana ndugu yangu. Anawapa hela ambazo ilibidi apeleke kwa ajili ya matumizi ya nyumbani!
 
Tulio kwenye ndoa hatushangai, ingawa yeye kazidi!
Ingawa baniani mbaya mbaya ila kiatu chake dawa, fanya yako kwa sasa, tafuta ajira then ukipata na ukiweza jimudu utamuhamisha maza wako kutoka kwenye hiyo fedheha, muhmu ni wewe kufikiria mambo yako
 
unaezaona ni jambo dogo....
ingekuwa ndo wewe ungejua how big it is!!!!!!

Pole sana kijana hata mi huwa nakereka sana kuona mzazi anakuwa na uchafu huo, ukuzingatia anaishi na vijana wake wakubwa tu, ni aibu sana hawajui tu, pole!!!!
Ugumu (na pia siyo sahihi au haiwezekani) kwa mtoto kumwambia/kumshauri mzazi wake aache umalaya. Sikio halizi kichwa. Poe na wewe.
 

Ndugu geofrey tajiri, pesa ndio hizo anahonga wanawake. Ana kimada mmoja kamfungulia mpaka kibanda cha Mpesa na Tigo pesa, nikimuuliza ananijibu kazi zake zinaenda hovyo na hana pesa. Chuo chenyewe nimesoma kwa magumashi tu na juhudi za mama!
 
Kwa kweli ushauri wenu utanisaidia sana ndugu zangu. Ingawa hatujuana kwa sura na majina, Mungu awabariki sana!
 
Labda baba yako wakati wa ujana wake hakuwaona hao madenti nao kama wanakubali na wewe chinja ukihama hatasaidia au hao madenti gonga wewe mshua asijue
 
Pole sana, nadhani ungejaribu kumuita pembeni ukaongea nae kua anavyofanya sio vizuri uenda ndio ikawasababu ya yeye kuwacha haya mambo,lakini ukiwa unasononeka peke yako yeye anaona sawa tuu, au mwambie ndugu yake yoyote..
 
Pole sana, nadhani ungejaribu kumuita pembeni ukaongea nae kua anavyofanya sio vizuri uenda ndio ikawasababu ya yeye kuwacha haya mambo,lakini ukiwa unasononeka peke yako yeye anaona sawa tuu, au mwambie ndugu yake yoyote..

Then kuna watu wazima wenye umri kama wake lakini hata siku moja hakuna niliyesikia skendo zake. Ila mwisho wa yote ni aibu!
 
Mwisho wa dhambi ni aibu! Acha tu, Mungu atamwonyeshea hukuhuku Arusha!
 
Niliwahi kumkuta anamchezea makalio mtoto wa kike aliyemaliza darasa la saba, mbele ya kibaraza chetu. Yani ni mtoto mdogo sana alikuwa. Niliumia sana moyo, ikabidi niende kanisani nikapate faraja ya moyoni!

Si kujua hii issue IPO serious kiasi hiki! You real need a help to rescue your father coz ur at the edge to lose him either through disease, kubaka na kufungwa au kuuwawa na watu wenye hasira kali! Babu/Bibi yako mzaa baba yupo hai? Kama yupo hai mweleze huyo kwa uwazi na ukweli ili amuonye! Na pia unaweza kuwaambia wazee wenye busara katika ukoo wenu ili wasaidie kwa hilo! Ukweli hata jibu alilokuambia baada ya kumshauri la kwamba ' unakaribia kuchanganyikiwa kwa sababu ya kukosa ajira' linaonyesha fika kabisa ni kweli hayo mambo anayafanya na alijibu 'kishikaji ili kupotezea!' Pole sana mkuu Infantry Soldier!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:

Ushauri mzuri sana.

Mkuu pole sana, ni hali ngumu kuipitia, endelea kuomba Mungu, endelea kumsihi baba yako kwa Hekima ya hali ya juu ipo siku atabadilika kabisa. kuna watu walishapitia vitu vya ajabu sana na vya aibu sana lakini kutokana na maombi ya wengi Mungu aliingilia kati.

Pili, huyu ni mzazi wako kumbuka, na kama anakosea haikupi haki wewe ya kumkosea hata kidogo, na ukiendelea kumuwekea bifu hata akiacha laana lazima itakupata kaka, Kwenye Biblia -Mwanzo 9:20 kuna kisa cha Nuhu na wanawe , mmoja aliuona uchi wa babaye akiwa mlevi akamcheka babaye na mwenzake akamsogelea kinyume nyume akamfunika. Baba akamlaani pamoja na ulevi wake yule aliecheka na ikawa kama alivyosema - Mungu anaangalia haki ya mtu anapoacha baraka/laana haangalii dhambi zake. kwa hio kukosa kumheshimu akisema neno juu yako halitarudi bure believe it or not bro, watch out two wrongs never made it right)

Pia unaweza kuongea na viongozi wake wa kidini (wenye hekima) waweze kumuita, kumkanya na kumuombea Baba bila yeye kujua kuwa ni wewe uliefanya hivyo, ionekane hao viongozi ndio wameona hii kitu na kuamua kumuonya.

Upande wa pili, Mama naye inawezekana alikua tatizo kwa upande flani, (simtuhumu) maana mambo ya wazazi ni mengi pia, wengine hufikia kuadhibiana kwa kunyimana unyumba, matokeo yake mmoja anatoka anaonja nje anapewa maufundi so inakua ngumu kurudi tena cha nyumbani. au pengine huwa anajaribu kuacha na kumrudia mkewe then anapigwa kipepsi, who knows?

Kwa hiyo silaha yako kubwa kama mtoto ni maombi, shirikisha pia waombaji wachache, Mungu akakutane na ufahamu wake aweze kumbadilisha. Mwili huwa haushauriki kaka.
 
Cha kufanya waheshimu hao ni mama zako wadogo
 

C.T.U. We Jamaa una Inaelekea IQ yako ipo juu sana that's y umeweza kufikiria differently compared to others japokua unaweza kuwa wrong au right!!
 
We mwanaume mkubwa hivyo unaishi nyumbani? Sepa katafute maisha yako na kumnunia dingi yako hakumbadilishi atabakia kuwa dingi tu. Chamsingi kaishi mbali naye mwache na maisha yake yeye na mke wake na ww katengeneze yakwako na mkewako.
 
C.T.U. We Jamaa una Inaelekea IQ yako ipo juu sana that's y umeweza kufikiria differently compared to others japokua unaweza kuwa wrong au right!!

Ni kweli mkuu ila yeye kasema ni he..
Ila michango ya wakuu wengine hapo juu naona itamjenga zaidi huyu kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…