Huyu Baba Mkwe atanivunjia Ndoa

Siku hizi imekuwa fashen baba kula kuku na mayai yake. ila kwa huyo sina wasiwasi. Wenye kufanya hivyo huwa ujificha sana japo mapenzi ni kikohozi, kulificha uliwezi.Ongea na mke wako na kwa mahesabu makubwa apunguze ukaribu na baba yake
 
usinidanganye kirahisi hivyo, basi background yao ni mbovu if that is what you mean

mkuu jitahidi kurekebisha hiyo hali kama ningekuwa mimi siku mingi ningeshawapaisha, usijekuta mkwee anakula faida, kwa kuanza piga marufuku simu za babamkwe za kusalimia usiku mchana alikuwa wapi au uwe unazijibu wewe?? na akija hapo nyumbani ajue yuko nyumba ya mwanaume mwenzie ajiheshimu kuoa binti yake siyo kibali cha kuja kubimbilika nyumbani kwako.
 
za mwizi si bado ni arobaini? kwani zimeongezeka? zitafika tu sina haraka japo kama ni kweli sijui itakuaje!!
mkuu jitahidi kurekebisha hiyo hali kama ningekuwa mimi siku mingi ningeshawapaisha, usijekuta mkwee anakula faida, kwa kuanza piga marufuku simu za babamkwe za kusalimia usiku mchana alikuwa wapi au uwe unazijibu wewe?? na akija hapo nyumbani ajue yuko nyumba ya mwanaume mwenzie ajiheshimu kuoa binti yake siyo kibali cha kuja kubimbilika nyumbani kwako.
 
kutokana na mtirisiko wamatukio yanayojili hivi sasa yn baba kumla bintiye imekua kawaida nahuyo mdingi na mkeo wanatia shaka. jaribu kufuatilia historia yao yanyuma,mkabe wife wako na umwambie hufurahishwi na hiyo closenes
 
Huyo ni mume mwenzio, hata watoto wanaweza wakawa sio wako.!! Hata kama joto, pens seblen kwa mkweo, HAPANA KABISA! Siku akija, weka mtego unasafir then rud gafla usiku, uwe na funguo zako!! Na ukiwafuma, utafanyaje?! Au ndo utarud tena Jf?
 
nilisimkia college mate akisimulia kisa chake na galflend wake kwamba dingi wa dem wake alikua na mtafuna bintiye............sasa fanya uchunguzi,tunaishi kweny kizazi kilifisika kwa hofu ya MUNGU

Huyu Baba Mkwe simuelewi kabisa, saa sita au saba usiku eti anampigia simu bintie, kha, umelala usingizi unashtuka simu inaita au mtu anaongea na simu, haya mwenzetu nani huyo usiku huu, oooh Baba anatusalimia!!! Saa hizi!!!

Haya kuna siku kaja, mmmh niko zangu job wife yeye karudi mapema ile narudi namkuta Mkwe kavaa pensi tu miguu iko juu ya sofa mgongo uko chini ya sakafu kwenye jamvi, bintiye yuko sofa ya jirani wanapiga story!!!!!! Sina mawazo mabaya but huyu dingi jamani na hii mikao yake mbele ya binti yake!!! Yaani umevaa pensi halafu miguu juu, kweli si maeneo yote hatarishi yanakua exposed???

Mara oooh wewe Suzy wewe (Ni Housegirl-sio jina lake halisi) nataka nikuoe, nataka Mama fulani (mke wangu) nimtafutie Mama mdogo, naona wewe unafaaa....kwakweli ananinyima raha bhana, yaani mtu aje kwenye himaya yako halafu anaongea huu mchuzi huu, ahaaaaa

Haya kama kawaida yake, muda wa kuondoka lazima ampetipeti mke wangu, mara ooh baba fulani wewe pumzika tu subiri mama nanihii anisindikize.....mmmh haya basi Mama msindikize kwa gari baba hadi hapo kituoni, eti hapana ngoja tutembee tu, kuanzia saa moja kasoro hadi saa mbili ndio anarudi kumsindikiza baba, distance ya dakika kumi hadi kituoni????

Jamani, jamani sihisi chochote but huyu Dingi huyu nitakuja kumkata kidevu, Nice weekend,
 
Elli chukua ushauri unaopewa na wadau humu lakini kumbuka kuchanganya na zako. Jambo la muhumu - usisababishe ugomvi usio wa lazima katika familia.
 
Last edited by a moderator:
Haahaaa kuna baadhi ya madingi tz yamekengeuka, mkuu kuwa makini, hapo kama hajamtafuna basi anataka kumtafuna!

Mwambie mkeo kwasauti kiume kuwa ni MARUFUKU kuchekacheka na baba yake, MARUFUKU baba yake kumpigia simu usiku labda kuwe na msiba hata hivyoo akitaka kupiga basi apige kwenye namba yako!

Kuna kaugonjwa umekalea wewe mwenyewe mkuu, HATA siku moja usimrusu mkeo amsindikize mkweo!

Labda nikufahamishe, kwa imani yangu ya Kirasta Fari na mila ya kabila langu la Kizanaki ni kuwa mwanamke akishaolewa mamlaka na udhibiti WOTE unakuwa kwa mumewe,

Wazazi wake chochote wanachotaka kumwambia au kukifanya kwa binti yao (mke wangu) ni lazima wapate kibali kwangu!

Mkuu badili mfumo wako wamaisha, MPIGE marufuko mkweo kuja hapo kwako bila sababu maalumu na akihitaji kuja kuongea na mwanae aombe kibali kwako na ikiwezekana shinda zake zote azifikishe kwako na wewe ndio utaamua kumfikishia mkeo!

NB

Ieleweke pia wazazi WANGU nao wakitaka kuongea na mimi hasa mama yangu, nilazima aanze kwanza kuongea na mke wangu kisha aoombe kuongea na mimi

Tambua kuwa huyo ni MKEO wako wewe, wewe ndio mwenye mamlaka ya mwisho iwe mbinguni ama duniani! Ukisema NO na iwe NO kweli!

Ukicheka na NYANI utavuna mabua mkuu!

mwenye Mamlaka ya mwisho mbinguni ni mungu mwenyewe
 
Back
Top Bottom