Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,488
- 100,883
- Thread starter
- #21
Kwa sisi walimu tuna kitu kinaitwa Extra Curricula Activities, ndio hicho hapo sasaHiko ndo wanachofundishwa CCP?
Kwa sisi walimu tuna kitu kinaitwa Extra Curricula Activities, ndio hicho hapo sasaHiko ndo wanachofundishwa CCP?
Lengo la kujificha ni nini hasa? Kupunguza ajali au kuvizia mapato?Kwa sisi walimu tuna kitu kinaitwa Extra Curricula Activities, ndio hicho hapo sasa
Wengine wanakaa vibanda vya mama Lishe,anakunywa supu anapiga tochiNdio maana mapato ya Polisi yameongezeka kumbe!!
View attachment 448453
Ni bora wangepelekwa chuo cha kodi ikajukana tu.Hiko ndo wanachofundishwa CCP?
Kwahio ulitaka avae white ili umuone kirahisi? Huo ni mkakati ukitokea Moshi kabla hujafka Liverpool hotel wanakusimamisha wanakuambia Mazinde ulizidisha speed halafu utashangaa Mazinde mbona sikuona traffic!Acheni kuchafua jeshi la polisi, je, hiyo ni asikari wa usalama barabarani kweli?
Traffic vehicle anavaa Nguo za kaki tofauti ni kofia tu inakuwa nyeupe....Acheni kuchafua jeshi la polisi, je, hiyo ni asikari wa usalama barabarani kweli?
120 kph ni speed ya kawaida sana.Ni bora wangepelekwa chuo cha kodi ikajukana tu.
Wataalamu wa vyombo vya moto wanadai kuwa spidi 120+ ndio mwendo wa hatari lakini 80 kushuka ni normal speed. Sasa kama kweli kutoka Dar - Mwanza ni kilometa kama 1,000 ambapo kwa wastani wa km kwa saa ni masaa 13. Sasa inakuwaje tunaamini katika speed tu na kuilaza basi Morogoro huku imetoka saa 12 Mwanza!?
Hawalazimishi mapato mkuu, wanafanya wajibu wao.Hadi aibu. Wanalazimisha mapato.
Ndio maana nika exaggerate kwa kuweka ya chini zaidi lakini sisi tumeamua kutofautiana na dunia.120 kph ni speed ya kawaida sana.
Waondoe miji iliyo kwenye hifadhi ya barabara. Waweke zebra na waweke taa. Waondoe matuta.Ndio maana nika exaggerate kwa kuweka ya chini zaidi lakini sisi tumeamua kutofautiana na dunia.
Kama ilivyo kwa Rwanda gari zake ni left drive, basi na sisi tuweke sheria kila gari inayosajiliwa Tanzania engine yake isizidi spidi 50 ili hawa matrafiki wakafanye majukumu mengine badala ya haya ya TRA!
Usalama wangu ni kujificha vichakani?Hawalazimishi mapato mkuu, wanafanya wajibu wao.
Kumbuka kuwa usalama wako uwapo barabarani ni jukumu lako pia. Unapokamatwa umeenda mwendo kasi, we mwambie askari kwamba hauko tayari kulia fine, badala yake upewe adhabu nyingine...hapo utakuwa umeikomoa serikali
Tunalichafua au jeshi la polisi linajichafua lenyewe!!?Acheni kuchafua jeshi la polisi, je, hiyo ni asikari wa usalama barabarani kweli?
Swali la msingi ni KWA NINI UVUNJE SHERIA?Usalama wangu ni kujificha vichakani?
Kwanini wasisimame barabarani?
Hahaha.Swali la msingi ni KWA NINI UVUNJE SHERIA?
Inaonekana u mgeni wa barabara na hujui changamoto za kazi ya UDHIBITI. Askari akikaa barabarani na akajulikana yupo mahali fulani, si utakuwa anafanya uhuni wa kwenda mbio na ukifika hapo unapunguza mwendo? Au hilo nalo linahitaji akili za ziada?
Speed limits haziko kwenye miji tu. Kona Kali, Mikondo ya Upepo, Madaraja na hata vivuko vya wanyama.Waondoe miji iliyo kwenye hifadhi ya barabara. Waweke zebra na waweke taa. Waondoe matuta.
Ukiendesha gari lako kwa kufuata sheriaHahaha.
Hizo akili mlizotumia kujificha vichakani mngetumia kupata njia ya kuondoa tatizo la ajali barabarani.