Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,632
Sawa sijakataa.Speed limits haziko kwenye miji tu. Kona Kali, Mikondo ya Upepo, Madaraja na hata vivuko vya wanyama.
Ni kwa kuwa tumelelewa kulaumu kila jambo ndio maana hujafikiri kuhusu gharama za kuweka taa porini.
Kama kuna kibao kinakuamuru usiende zaidi ya speed 50 kwa kipande fulani cha njia na wewe huyu huyu unakidharau, taa zitaleta maajabu gani ya kukubadilisha?
Usalama barabarani ni jukumu letu sote. Tii sheria ubaki salama.
Kujificha vichakani sio njia sahihi ya kuzuia ajali Tanzania.