Huyu Askari atang'atwa na Nyuki

Huyu Askari atang'atwa na Nyuki

Kumbe ukiwa na shamba pembezoni mwa barabara unaweza kuinvest hata kwa polisi
 
You sound like a low minded person.
Polisi ndo wapo hivyo..
Upumbavu hata ukisemwa kwa lugha ya kigeni utabakia kuwa ni upumbavu tu.

Wewe usiyejua tofauti ya sheria na mbinu uniite mimi low minded?!!! Hewala, wewe waite hao askari jina lolote likupendezalo lkn haibadilishi ukweli kuwa mwendo kasi na kutozingatia sheria za usalama barabarani ni jambo baya.

Kinatochotusumbua Watanzania wetu ni ubongo mvivu. Unakamatwa kwa kuwa umefanya kosa, unashtakiwa kwa sheria...badala ya kuacha kufanya makosa, unalalama kama ju ha juu ya njia iliopelekea kukamatwa kwako.

Unashindwa kujustify hoja yako, unakimbilia Kiingereza kudhania kinabadili maana.

Ina maana wewe ndio ungekuwa askari yule ungejianika njiani uonekane...lofa ni zaidi ya maskini.
 
Mngekaa kama polisi mkaja na solution ya kudumu. Ila kujificha kichakani ndo mbinu ya hovyo kuwahi kutokea.
 
Ndio maana mapato ya Polisi yameongezeka kumbe!!
View attachment 448453

Mkuu siku hiz wanaingia mpaka vituo vya daladala kukagua makosa. Yaan wakikosa daladala unao kituoni. Cheki hapa!!
399d962bc4e8862673876f255c594418.jpg
 
Mngekaa kama polisi mkaja na solution ya kudumu. Ila kujificha kichakani ndo mbinu ya hovyo kuwahi kutokea.
Sasa wewe hasa ndio low minded. Unaniambia MNGEKAA, mbona mbinafsi sana wewe?

Usalama Barabarani ni jukumu letu sote. Hatua ya kwanza ni wewe kubadili mtazamo. Unless uniambie ina manufaa kwako kupinduka wakafa au kupata vilema vya maisha.

Mtizamo wako ni HASI, unazipinga juhudi zilizopo huku ukijiigiza kuwa una hamu na juhudi mpya. Utashi ndio muhimu zaidi. Pamewekwa kibao cha 50 hukiheshimu, unadai CAMERA, umekuwa NYANI kiasi ukose reasoning hadi tukuwekee fensi?

Dereva mwenye akili timamu na staha hana shida na tochi. Tochi inamulika wasiofuata sheria. Hizi ni juhudi zinazopaswa kuungwa mkono. Think in terms of solution mkuu
 
Mkuu siku hiz wanaingia mpaka vituo vya daladala kukagua makosa. Yaan wakikosa daladala unao kituoni. Cheki hapa!!
399d962bc4e8862673876f255c594418.jpg
Ni kwa faida yetu. Kuna madaladala yapo kama thermos...madirisha hayafunguki na mengine moshi unatokea ndani badala ya kwenye exhaust.

Kuna shida gani gari kukaguliwa ikiwa limekidhi viwango? Tunafurahia kubadilishana hewa chafu kwenye usafiri wa umma?
 
Sasa wewe hasa ndio low minded. Unaniambia MNGEKAA, mbona mbinafsi sana wewe?

Usalama Barabarani ni jukumu letu sote. Hatua ya kwanza ni wewe kubadili mtazamo. Unless uniambie ina manufaa kwako kupinduka wakafa au kupata vilema vya maisha.

Mtizamo wako ni HASI, unazipinga juhudi zilizopo huku ukijiigiza kuwa una hamu na juhudi mpya. Utashi ndio muhimu zaidi. Pamewekwa kibao cha 50 hukiheshimu, unadai CAMERA, umekuwa NYANI kiasi ukose reasoning hadi tukuwekee fensi?

Dereva mwenye akili timamu na staha hana shida na tochi. Tochi inamulika wasiofuata sheria. Hizi ni juhudi zinazopaswa kuungwa mkono. Think in terms of solution mkuu
Solution ni kutikuwa na tochi. Wote tuwe wastaarabu.
 
Tochi hainisumbui. Ila ni njia ya kishamba kukamata muhalifu.
NJIA YA KISHAMBA? Kwa hiyo unadhani kazi ile ni sawa na kuvaa suruali kwa mitindo?

Be serious on serious issues. At least umejua kuwa wanaotafutwa ni wahalifu. Basi fahamu kuwa hata camera za kukamata wahalifu hufichwa.
 
Wekeni camera sehemu hatarishi, then ziwe centrally controlled.
Unakaa na tochi yako mchana halafu usiku haupo. Unadhani utakuwa umefanya kitu?
Ndio maana toka mwanzo nakuambia, tunahitaji permanent solution..
 
Ngoja nikwambie jambo bwana mdogo.

Usije ukafikiri Speed Radars zinatumika Tanzania tu. Hakuna nchi yeyote kwa ufahamu wangu iliyofanikiwa kufunga cameras kwenye barabara zake zote. In most cases, cameras zipo mijini kwenye high traffic na sio kwenye high ways. Tofauti ya wao na sisi ni kuwa wao wanajitambua kwa asilimia kubwa. Wehu wenye kuhatarisha maisha yao ni wachache na adhabu ziko juu.

Wakati hapa kwetu ukikamatwa kwa kosa la kuzidisha spidi unalipa 30,000...usipowasha indicator Washington camera ikakunasa ujue $100 inakuhusu.
 
Ok
 
Mbona washngton ndogo, kuna wakati nilikamatwa nikalipishwa $510 kwa kosa la ku-cross red light na nikapoteza point 3 (kati ya 12). Nchi nyingine ukikutwa huna leseni kwa mfano ni jela miezi 3 unbailable...Tz bado sheria hazijasimamiwa vzr
 
Back
Top Bottom