Huyu anaweza kuwa kabila gani?

Salahan

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,963
3,675
12715615_576106782544158_1082348595770879414_n.jpg
 
ha ha aisee huyo jamaa atasababisha madhara kwa watu wengine, hayo maji ya chumvi na huo ni umeme
 
Anatumia Water Heater, hakuna tatizo zaidi ya tatizo la ubongo wake mwenyewe, kwa wingi wa maji anajichemsha mwenyewe tu
 
Anatumia Water Heater, hakuna tatizo zaidi ya tatizo la ubongo wake mwenyewe, kwa wingi wa maji anajichemsha mwenyewe tu
kama itatokea poor insulation resistance hapo kwenye hiyo heater yake au contact yeyote kati ya live wire na hayo maji basi kuna madhara makubwa yanaweza tokea hapo
 
Insulation resistance una maana gani?
namaanisha kinga iliyopo kati ya waya uliyo na umeme na kizuizi cha umeme ili mtu asizulike na umeme huo. kila kifaa cha umeme pamoja na wire zake kuna insulation resistance kwa ajili ya kinga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom