Anaomba uumbaji utakapofanyika kwa mara ya pili.,yeye awe mwanaume kwakuwa amechoshwa na mausumbufu ya wanaume kila kukicha.,akiwa kwenye daladala anaombwa mzigo na abiria wa kiume,akiwa kazin anaombwa mzigo na co workers na maboss,akiwa nyumbani majirani wanaomba pia ila mbaya kuliko zote akiwa usingizini analiwa mzigo bila ridhaa yake na mtu hamuoni.