Huyu ni Mh.Mariam Kisangi(CCM-Vitanda maalum) anacheza ngoma za vigodoro baada ya hotuba ya Prof. Tezi alipogundua kuwa prof yuko upande wake wa kutetea escrow scandal....!!
Hatasahaulika vizazi vyote, yeye na Asumpta Mushana.bavicha kwa visasi,yani huyo mama hamusahau tu?
heri ujipitie zako ukale kibukuHa ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaah, ni shidaaa