Huyu ana tatizo gani??

Fungus hizo,bora hata hii Corona imetuletea ustaarab mpya wa kutosalimiana kwa kupeana mikono
Kweli kabisa.Yaani anakupa mkono wake mnagusana kisha unakwenda kula mhindi wa kuchoma bila kunawa,haki ya nani utaugua hadi uchanganyikiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…