Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,371
- 14,481
- Thread starter
- #41
Kweli kabisa.Yaani anakupa mkono wake mnagusana kisha unakwenda kula mhindi wa kuchoma bila kunawa,haki ya nani utaugua hadi uchanganyikiwe.Fungus hizo,bora hata hii Corona imetuletea ustaarab mpya wa kutosalimiana kwa kupeana mikono