Huyu ana tatizo gani??

Huyu ana tatizo gani??

Jamaa mkeka wa JACKPOT umetick, kaja kuchukua million 250 zake.

Mkeka ulihifadhiwa sehem salama kabisa
 
Hili ni funzo hasa kwa wazazi kwamba kuanzia chini tunapaswa kuwafunza watoto kwamba kuna vitu ambavyo si sawa kuvifanya hadharani.
 
Hili ni funzo hasa kwa wazazi kwamba kuanzia chini tunapaswa kuwafunza watoto kwamba kuna vitu ambavyo si sawa kuvifanya hadharani.
Kweli kabisa.Mmonyoko wa maadili ni kansa inayotafuna jamii yetu.
 
Noma sana mashabiki wa UTOPOLO wanakwamba wapi aiseee!!! Mkeka umechanika mpaka network imekata!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom