Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,371
- 14,481
Kabisa mkuu,najaribu kumtafakari huyu jamaa simuelewi.Kuna watu wa ajabu sana!
Dunia inaelekea kubaya.Daaah watu wanajitoa ufahamu waziwazi
Kha!kha!,hatari sana.Iyo ndo inaitwa BOTH TEAM TO SCORE
Anabeti au siyo mkuu.wazee wa kubeti
Yaani!!!,mi simuelewi.Ngoja akimaliza hapo, akiunusa ana tatizo asipounusa basi alikuwa anawashwa na kinyeo!![]()
Yanga tena???.Aisee wakikusikia watakumaliza.Alafu mkono ukitoka hapo ananusa kwanza.Yanga ni watu wa hovyo sana.
Anawashwa
Anawashwa nini tena??.Anawashwa
Anawashwa nini tena??.